Wanaofaa kuwania urais 2015 kwa ticket ya CCM hawa hapa

magistergtz

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
282
56
1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli

Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.
 
ayaahh!... Sikiujua kama kuna machizi wanaweza kupost thread humu jf hadi nilipoiona hii!
 
Wewe unawakilisha kundi gani hilo mnalofikiria kuwapa urais,kundi langu litaamua baada ya kupitia sifa za wagombea wote,hatupo kichama,kidini,kikabila, kiukanda wala kimagazeti!!
 
...wala kijinsia uh!
 
Vipi Bi. Asha Rose Migiro anarudi kutoka UN. Jee hafai kuwepo kwa orodha?
 
Mimi huwa natamani sana siku moja mtu aje na facts zinazoonyesha kwanini Lowassa hafai kuwa president lakini badala yake wana wanakuja hapa na maharisho yao waliyojiharishia huko. Lowassa is a tough decision maker, is charismatic, brave, experienced leader, innovative ,etc
 
Wewe unawakilisha kundi gani hilo mnalofikiria kuwapa urais,kundi langu litaamua baada ya kupitia sifa za wagombea wote,hatupo kichama,kidini,kikabila, kiukanda wala kimagazeti!!

wote wangekuwa kama wewe tusingepata shida
 
1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli

Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.

Siyo kweli sema wewe utawapa kura na si watanzania.Hilo ni chaguo lako na pia hayo ni mawazo yako.
 
Back
Top Bottom