Wanaofaa kuwania urais 2015 kwa ticket ya CCM hawa hapa

1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli

Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.

Acha kumchanganya Lowasa na watu wema. Sijui umri wako lakini kama una ndg yako mtu mzima muulize Nerere alipomkataa alisema nini? Mambo mengine msirukie kama kunguru Ikulu kuna Black Book yenye maelekezo ya kuendesha nchi ambayo kuyapuuza ni kujipatia matatizo na nchi ikakushinda kuitawala. Unamkumbuka Aboud Jumbe!??? Imeandikwa: hana ruhusa kuvuka isipokuwa kwa sababu maalum kama ugonjwa nk..... lakini si sherehe za mapinduzi ama Uhuru...... Nani anataka hayo? Angefaa lakini JEURI yake ilimponza hadi Mwl akamdisco Naamini hadi hapo umenielewa wewe na wana JF wenzako wenye Kiherehere cha kuchokonoa hadi mnampa Kichwa EL. Amuulize Mrema watu walisukuma Gari tolka Airport hadi Manzese wakiimba Rasi Rais lakini hawakumpigia kura
 
Amefanya kazi gani nzuri Mkuu?

Mimi nimeshuhudia ziara zake mbali mbali.Kumbuka alianzia MWANZA akahoji jengo la milioni 100.Ameenda MUSOMA,KAGERA na jana alikuwa IRINGA.Tanzania tunahitaji WAZIRI MKUU kama MWANRI au MAGUFURI nchi inaweza kwenda.Tunahitaji waziri ambaye ni CORROSIVE.Mawaziri wote wangekuwa kama hao nchi yetu ingekuwa imefika mbali.
 
Watanzania ni vema tukajadili kwanza mambo yanayohusu uchumi kwani suala la urais lina miaka minne mbele.
 
hatuhitaji msafi tunataka rais hatakayetupa maisha bora, huo usafi na uchafu nafikiri muulize padri aliyehasi ndiyo anajua tofauti yake.
I did not expect this from you!You knw why?Mza hatuna watu wanaofikiri kwa kutumia hamasa!Man huwezi kufaulu bila ku plan!Unajua tatizo kubwa linaloangamiza taifa ni negligence ya watu wengi na mitizamo isiyo na dira kama huu wako! I am not a politician but i don't just vote because of passion!
 
Acha kumchanganya Lowasa na watu wema. Sijui umri wako lakini kama una ndg yako mtu mzima muulize Nerere alipomkataa alisema nini? Mambo mengine msirukie kama kunguru Ikulu kuna Black Book yenye maelekezo ya kuendesha nchi ambayo kuyapuuza ni kujipatia matatizo na nchi ikakushinda kuitawala. Unamkumbuka Aboud Jumbe!??? Imeandikwa: hana ruhusa kuvuka isipokuwa kwa sababu maalum kama ugonjwa nk..... lakini si sherehe za mapinduzi ama Uhuru...... Nani anataka hayo? Angefaa lakini JEURI yake ilimponza hadi Mwl akamdisco Naamini hadi hapo umenielewa wewe na wana JF wenzako wenye Kiherehere cha kuchokonoa hadi mnampa Kichwa EL. Amuulize Mrema watu walisukuma Gari tolka Airport hadi Manzese wakiimba Rasi Rais lakini hawakumpigia kura

I wish wangepata akili za kujua hayo, lakini hizo pesa alizochuma kweney kufisadi Wtz ndio hizo anazotumia kununua watu humu JF
 
Watanzania ni vema tukajadili kwanza mambo yanayohusu uchumi kwani suala la urais lina miaka minne mbele.

Hii ni kuonyesha ni jinsi gani hatuna priorities kwenye mipango yetu, tupo tupo tu kama Kuku anayepita na kufukua huku na huku.
 
Mimi nimeshuhudia ziara zake mbali mbali.Kumbuka alianzia MWANZA akahoji jengo la milioni 100.Ameenda MUSOMA,KAGERA na jana alikuwa IRINGA.Tanzania tunahitaji WAZIRI MKUU kama MWANRI au MAGUFURI nchi inaweza kwenda.Tunahitaji waziri ambaye ni CORROSIVE.Mawaziri wote wangekuwa kama hao nchi yetu ingekuwa imefika mbali.

Asante MKUU: lakini huko nako amefanya nini substantial cha kupewa credit?
 
ni mawazo yako,lkn hapo cjaona mwenye nafuu hata kidogo,CCM hakuna msafi
N

Kwani Mkapa wakati anachukua nchi alikuwa mchafu?! Hata hao mnaowaamini wanaweza kufanya madudu yaleyale tusiwaamini sana kutokana na kelele zao?!
 
1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli

Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.
Hivi ninyi watu mnalipwa shillingi ngapi ili kupiga debe? Mbona hata watoto wadogo vijijini wanajua kuwa maadui wa jamii sasa hivi ni wanne: Ujinga, maradhi umaskini na Lowasa!
 
Wapo wengine wengi tu, tatizo letu watanzania tunatazama mambo mengi kwa macho ya samaki ambapo tunaona kulia na kushoto peke yake; juu, chini, mbele, nyuma, hatuoni kwani hii inahitaji kuwa na jicho la ndege;
 
Back
Top Bottom