Wanaofaa kuwania urais 2015 kwa ticket ya CCM hawa hapa

1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli

Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.

Wote hawafai,anayefaa kuwa Rais ni Phillipo Nyalandu,Makamo wa Rais Shamsi Vuai Nahodha,Waziri Mkuu John Pombe Magufuli, Waziri wa Tamisemi Edward Ngoyai Lowasa,Mambo ya Nje Dr.Asha Rose Migiro na Afrika Mashariki Bernard Membe

Rais lazima awe kijana ambaye akili inachemka.
 
Tafuta hotuba ya baba wa Taifa ya mwaka 1995 ndio iliyomchambua Lowasa Sio sisi. Sisi hatumchambui kwanza nani kakwambia uchaguzi utakuwa mwaka 2015? Uchaguzi ni mwakani 2013? Tafuta sababu humuhumu JF utazipata kwa nini mwakani.

wewe nyerere alikuwa na wivu wa kijinga sana
 
Vipi Bi. Asha Rose Migiro anarudi kutoka UN. Jee hafai kuwepo kwa orodha?

mi naöna tatizo ni ccm hatuitaki iende basi.... Hata kama dr. Slaa atahamia uko ccm na ye pia tutamtaka aende... Cdm oyeee.
 
Wote hawafai,anayefaa kuwa Rais ni Phillipo Nyalandu,Makamo wa Rais Shamsi Vuai Nahodha,Waziri Mkuu John Pombe Magufuli, Waziri wa Tamisemi Edward Ngoyai Lowasa,Mambo ya Nje Dr.Asha Rose Migiro na Afrika Mashariki Bernard Membe

Rais lazima awe kijana ambaye akili inachemka.

laana hii..
 
1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli

Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.

Naomba sana CCM wampitishe EL waturahisishie kazi ya kumwapisha Dr. Slaa mapemaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Mimi huwa natamani sana siku moja mtu aje na facts zinazoonyesha kwanini Lowassa hafai kuwa president lakini badala yake wana wanakuja hapa na maharisho yao waliyojiharishia huko. Lowassa is a tough decision maker, is charismatic, brave, experienced leader, innovative ,etc
Na mimi skuzote napenda nimpate mtu wakumweleza kwa nn LOWASA hafai hafai kabisa kuwa RAIS.
1. Amechangia kwa kiasi kikubwa kutofanikisha zoez la kuwa wajibisha wahujumu uchumi kwa kutumia hela zake anazowaibia watanzania nakuwachezea kiini macho kujidai yeye ni msafi kwa kutoa michango makanisani na misikitini.
2. Anamchango mkubwa katika kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu. Kumbuka, kama asingetuingiza ktk mkataba feki na dowans hela zilizopotea zingetosha kukamilisha mtambo wakuzalisha umeme wa makaa ya mawe na hlo tatizo lakupanda kwa tarif za umeme lisingekuwepo.
3. Anahela nyingi zisizojulikana amezipata wapi, hi inaashiria si mtu mwema kwa afya ya Taifa
4. Ninawasiwasi na uwezo wake wakufikiria mambo, amekaa kisiasa siasa na kujidai anaweza kusimamia wenzake huku hawezi kujisimamia mwenyewe.
5. Inaonekana anataka Urais kwa ajili ya kujisafisha na kulipiza kisasi.
EE MUNGU TUEPUSHE NA LOWASA TUTATESEKA SANA NCHI HII.
 
Lowasa awe mgombea urais zanzibar na bara agombee dk shein ccm watashinda kwa kimbunga!!
 
hatuhitaji msafi tunataka rais hatakayetupa maisha bora, huo usafi na uchafu nafikiri muulize padri aliyehasi ndiyo anajua tofauti yake.
 
Jamani wa TZ naomba tuelewe kitu kimoja. Mimi siko TZ, Nimeona mifumo mingi kwenyenchi, hata nimeshiriki kupiga kura. Wa Tz hatupaswi kuangalia mtu, sijui Lowasa, Mingiro, Magufuli. Tunapaswa kuangali mfumo mzima wa chama na sera zake, alafu ni nani anaweza kuzisimamia. Sera zaweza kuwa nzuri sana ila mfumo. Mara nyingi vyama vikongwe vinakuwa na mfumo mbaya kulingana na viongozi walio kaa mda mrefu kwenye chama. Anaweza kutokea kiongozi mzuri lakini asiwe na maamuzi yoyote, kwa hivi vyama kama hivi vikiwekwa pembeni wakati mwingine vinapata nafasi ya kufanya marekebisho na kubadilika. Kwa upande wa CCM nafikiri hiyo ndiyo njia pekee. Sera zaweza kuwa nzuri ila baadhi ya viongozi wazuri wanashindwa kuzitekeleza kwa sababu ya mazingira yalio wazunguka! MFANO, NISIPO SAINI WANA CCM WENZANGU HAWATANIELEWA!
 
[QUOTE=magistergtz;3177641]1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli

Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.[/QUOTE]

HEBU MTOE HUYO LOWASSA hapo WEKA WATU WENGINE,kwamaana tunaangalia mtu makini sio fisadi aneutafuta urais makanisani kwa kutumia hela chafu
 
Mimi huwa natamani sana siku moja mtu aje na facts zinazoonyesha kwanini Lowassa hafai kuwa president lakini badala yake wana wanakuja hapa na maharisho yao waliyojiharishia huko. Lowassa is a tough decision maker, is charismatic, brave, experienced leader, innovative ,etc

All you have said is TRUE. But what is you have missed, which disqualify him, aganist all you have said is : HE IS MORE CORRUPT THAN OTHERS.

Ukiangalia sana utaona ni mtu mwenye uwezo wa kuwapelaka hatua 3 mbele, lakini pia UTAWARUDISHA HATUA 5 NYUMA.
 
Mi naona tuweke sifa za mtu kuwa rais then tuangalie nani anafit kwenye hizo criteria. Zaidi ya hapo tutakuwa tunapiga gumzo lisilokuwa na tija. Kwa hao uliowataja wanasifa moja kubwa wamesababisha tz kuwa hapa tulipo either kwa kufumbia maovu ya viongozi wenzao au kuchukua maamuzi mabovu ambayo yana/yameligharimu nchi. Mifano ipo mingi kuuza nyumba za serikali kwa bei sawa na bure. Kujenga shule za kata bila ya kuwa na plan maalum ya kujenga nyumba za walimu, maktaba, maabara, nk matokeo yake jengo likikamilika linaitwa shule na watoto wanasoma bila vitabu vya kutosha na miundombinu isiyokidhi haja na ndio maana 82% ya wahitimu wa kidato cha nne walifeli.

kilichofanyika ni kuhama kutoka UPE kwenda Universaal Secondary education (USE)
 
Mimi naona kati ya hawa CCM watapita
1.Samwel Sitta
2.John Pombe Magufuli.
3. E N Lowasa .
Najua huyu namba 3 ni fisadi ila anaweza kusimamia jambo.
MWANRI awe waziri mkuu amefanya kazi nzuri kwa muda mfupi. CCM wakiweka mwingine tofauti na hao CHADEMA haoooo kilaini.Najua CCM watakuja na hawa
MEMBE,MIGIRO,NYARANDU watakuwa wamekosea sana.Mwenye kuwa na mawazo tofauti na haya aniulize.
 
Amefanya kazi gani nzuri Mkuu?
 
Mimi huwa natamani sana siku moja mtu aje na facts zinazoonyesha kwanini Lowassa hafai kuwa president lakini badala yake wana wanakuja hapa na maharisho yao waliyojiharishia huko. Lowassa is a tough decision maker, is charismatic, brave, experienced leader, innovative ,etc

Halafu Waziri Mkkuu awe Magufuli!
 
Katika maisha omba mungu akujaalie akili utaweza kutafuta jinsi ya kuishi,lkn ukikosa akili utategemea usifie watu ili upate kula.Mag ni mmoja wao huwezi kutushawishi watu wenye akili shawishi njaa wenzio.
 
1. Edward Lowassa
2. Dr. John Pombe Maghufuli

Akiteuliwa mmoja kati ya hawa, watanganyika tutafikiria kuwapa CCM urais, tofauti na hawa tutawapa chadema nchi.
Unaonekana wewe ni mgumu kuelewa halafu mwepesi kusahau...si bure...utakuwa umetumwa...........

Back
Top Bottom