Nowonmai
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 1,019
- 1,094
Ni kweli kuwa kuna wanaolilia hili kwenye chama husika? Maana madai ya udikteta kwenye hivi vyama mara nyingi yanashadidiwa na upande wa pili. Alafu ya nini hata kulia? Mwalimu Nyerere alikuwa mdau mkubwa sana wa chama tawala lakini aliweka msimamo kuwa chama sio mama yake hivyo kikizingua anakiacha tu.Bado hujafungua Mind yako! Unafikiri watu wanapolia hakuna Demokrasia ya kweli ndani ya vyama vyao huwa wanakosea? Unachokifanya kwenye Chama chako kina uwezo wa kuhakisi kwa 100% kile utakachokifanya ukishika madaraka!