Wanaodhani Afrika nzima haina demokrasia waje wajifunze Malawi

KUTOKA KWA MALISA GJ
Nimetafsiri kutoka kwa dada Maria Mhandire wa Lilongwe.
____________
Wanaodhani Afrika nzima haina demokrasia waje wajifunze Malawi. Nadhani sisi ndio nchi ya kwanza kwa demokrasia Afrika na tuna mengi ambayo hata wazungu walioanzisha demokrasia wanaweza kujifunza. Kwa wale wasio wakazi wa Malawi ngoja niwaeleze hali ilivyo hapa;

Mwaka huu tutafanya uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kwa awamu ya pili kupitia chama tawala cha DPP.

Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM.

Yani Rais na Makamu wake wanagombea kupitia vyama viwili tofauti, na kampeni zinaendelea, kila mmoja akinadi sera zake.

Wakikutana kwenye matukio ya kitaifa wanakaa pamoja kama Rais na Makamu wake. Baada ya hapo wanakutana majukwaani wakipingana kwa hoja.

Mutharika na Chilima walikua chama kimoja cha DPP. Lakini mwaka jana wakatofautiana. Chilima akajiondoa na kujiunga na chama cha upinzani cha UTM.

Hakupoteza nafasi yake ya Umakamu wa Rais, maana Katiba ya Malawi inaruhusu kiongozi kuhama chama bila kupoteza nafasi yake ya uongozi.

Mgombea mwingine ni Atupele Muluzi, Waziri wa ardhi ambaye anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF.

Rais Mutharika hajamfukuza kazi. Kamuacha aendelee na kampeni za Urais akiwa bado Waziri wa ardhi.

Demokrasi ya hali ya juu.
Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP.

Licha ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili, lakini Rais Mutharika ameruhusu agombee akisema wananchi ndio watakaoamua.

Mgombea mwingine ni Lazarus Chakwera wa MCP. Hiki ndio chama cha ukombozi cha Malawi. Ndio chama cha Rais wa kwanza Hastings Kamuzu Banda.
Kampeni zinaendelea.

Hakuna vurugu, kakuna fujo, hakuna polisi wanaopiga raia. Hakuna drama za kijinga za polisi kuvuruga mikutano ya wapinzani kwa taarifa feki za kiintelijensia.

Wanaotaka kuandamana wanaandamana, Wanaotaka mikutano ya hadhara wanafanya. Wanaotaka vikao vya ndani ewala. Ili mradi kila mmoja anatumia njia yake kushawishi achaguliwe.

Raia wa Malawi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida, tukila Nsima (ugali) na kusikiliza sera za kila mgombea. Ni mataifa machache sana duniani yanaweza kuwa na kiwango hiki cha demokrasia. Tunajivunia nchi yetu.!
Fact am typing from Blantyre City u ..jiji la biashara hiyo ndio hali halisi Malawi ...Democray it's unnegotiable ....comes 21 May Kuna uchaguzi Mutharika anajua atapigwa chini kwanza hakuna ung'ang'anizi ukipigwa chini ..unakua mpole kufunga virango kutoka Sanjika palace au magogoni kweni huko.. sikatai Malawi economically is poor but rich in democracy.
 
KUTOKA KWA MALISA GJ
Nimetafsiri kutoka kwa dada Maria Mhandire wa Lilongwe.
____________
Wanaodhani Afrika nzima haina demokrasia waje wajifunze Malawi. Nadhani sisi ndio nchi ya kwanza kwa demokrasia Afrika na tuna mengi ambayo hata wazungu walioanzisha demokrasia wanaweza kujifunza. Kwa wale wasio wakazi wa Malawi ngoja niwaeleze hali ilivyo hapa;

Mwaka huu tutafanya uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kwa awamu ya pili kupitia chama tawala cha DPP.

Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM.

Yani Rais na Makamu wake wanagombea kupitia vyama viwili tofauti, na kampeni zinaendelea, kila mmoja akinadi sera zake.

Wakikutana kwenye matukio ya kitaifa wanakaa pamoja kama Rais na Makamu wake. Baada ya hapo wanakutana majukwaani wakipingana kwa hoja.

Mutharika na Chilima walikua chama kimoja cha DPP. Lakini mwaka jana wakatofautiana. Chilima akajiondoa na kujiunga na chama cha upinzani cha UTM.

Hakupoteza nafasi yake ya Umakamu wa Rais, maana Katiba ya Malawi inaruhusu kiongozi kuhama chama bila kupoteza nafasi yake ya uongozi.

Mgombea mwingine ni Atupele Muluzi, Waziri wa ardhi ambaye anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF.

Rais Mutharika hajamfukuza kazi. Kamuacha aendelee na kampeni za Urais akiwa bado Waziri wa ardhi.

Demokrasi ya hali ya juu.
Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP.

Licha ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili, lakini Rais Mutharika ameruhusu agombee akisema wananchi ndio watakaoamua.

Mgombea mwingine ni Lazarus Chakwera wa MCP. Hiki ndio chama cha ukombozi cha Malawi. Ndio chama cha Rais wa kwanza Hastings Kamuzu Banda.
Kampeni zinaendelea.

Hakuna vurugu, kakuna fujo, hakuna polisi wanaopiga raia. Hakuna drama za kijinga za polisi kuvuruga mikutano ya wapinzani kwa taarifa feki za kiintelijensia.

Wanaotaka kuandamana wanaandamana, Wanaotaka mikutano ya hadhara wanafanya. Wanaotaka vikao vya ndani ewala. Ili mradi kila mmoja anatumia njia yake kushawishi achaguliwe.

Raia wa Malawi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida, tukila Nsima (ugali) na kusikiliza sera za kila mgombea. Ni mataifa machache sana duniani yanaweza kuwa na kiwango hiki cha demokrasia. Tunajivunia nchi yetu.!
Fact am typing from Blantyre City u ..jiji la biashara hiyo ndio hali halisi Malawi ...Democray it's unnegotiable ....comes 21 May Kuna uchaguzi Mutharika anajua atapigwa chini kwanza hakuna ung'ang'anizi ukipigwa chini ..unakua mpole kufunga virango kutoka Sanjika palace au magogoni kweni huko.. sikatai Malawi economically is poor but rich in democracy.Point of correction Atupele Muluzi nimtoto wa raisi wa zamani Bakili Muluzi ambaye jina lake linatumika huko Dar Bakili Muluzi Secondary school.. He is minister of Health sio Lands(Aridhi) ..alichaguliwa kutoka upinzani kua waziri...lakini kwasasa nayeye atajaribu kalata yake yakwenda ikulu
 
Hongera nyingi ziwafikie. Kwa aina hiyo ya demokrasia, hakika ni mfano wa kuigwa. Huku kwetu wakati wa kampeni, watu kugombania fito, ni jambo la kawaida.
Huku kwetu siku uchaguzi speaker anamcharaza viboko mdogo wake, chama kimoja, jimbo moja, taifa moja.
 
[QgUOTE="Mpinzire, post: 30404469, member: 120266"]Kama tungekuwa na demokrasia ya kweli ndani ya vyama vyetu leo hii toka 2005 tungekuwa na mwenyeviti 3 wamepita chama chetu cha Demokrasia yaani Mbowe, Chacha na Zitto ila kilichotokea Allah mwenyewe anajua

Jf inasajili watu wenye udumavu WA akili!hapa inazungumziwa democracy ya nchi lakn wewe unaanza kuizungumzia Chadema!!!Hivi Chadema ni chama tawala???naboreka Sana na watanzanià wenye bongo bikra![/QUOTE]
Akili yako haichangamki inaonekana! Hiyo Demokrasia inaanzia nyumbani kwako Shubabiitiii
 
Demokrasia yote iliyopambwa kwenye hilo andiko imekosa maana baada ya kuona maneno haya, "rais Mutharika ameruhusu".

Kwamba hayo ni matakwa yake, na akijisikia anaamua kutokuruhusu.

Nilitamani kuona zaidi neno katiba badala ya rais.

- KANA -
 
Nsima ya nsomba yoocha na perperi. Hapo umenikumbusha mbali mkuu.
KUTOKA KWA MALISA GJ
Nimetafsiri kutoka kwa dada Maria Mhandire wa Lilongwe.
____________
Wanaodhani Afrika nzima haina demokrasia waje wajifunze Malawi. Nadhani sisi ndio nchi ya kwanza kwa demokrasia Afrika na tuna mengi ambayo hata wazungu walioanzisha demokrasia wanaweza kujifunza. Kwa wale wasio wakazi wa Malawi ngoja niwaeleze hali ilivyo hapa;

Mwaka huu tutafanya uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kwa awamu ya pili kupitia chama tawala cha DPP.

Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM.

Yani Rais na Makamu wake wanagombea kupitia vyama viwili tofauti, na kampeni zinaendelea, kila mmoja akinadi sera zake.

Wakikutana kwenye matukio ya kitaifa wanakaa pamoja kama Rais na Makamu wake. Baada ya hapo wanakutana majukwaani wakipingana kwa hoja.

Mutharika na Chilima walikua chama kimoja cha DPP. Lakini mwaka jana wakatofautiana. Chilima akajiondoa na kujiunga na chama cha upinzani cha UTM.

Hakupoteza nafasi yake ya Umakamu wa Rais, maana Katiba ya Malawi inaruhusu kiongozi kuhama chama bila kupoteza nafasi yake ya uongozi.

Mgombea mwingine ni Atupele Muluzi, Waziri wa ardhi ambaye anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF.

Rais Mutharika hajamfukuza kazi. Kamuacha aendelee na kampeni za Urais akiwa bado Waziri wa ardhi.

Demokrasi ya hali ya juu.
Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP.

Licha ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili, lakini Rais Mutharika ameruhusu agombee akisema wananchi ndio watakaoamua.

Mgombea mwingine ni Lazarus Chakwera wa MCP. Hiki ndio chama cha ukombozi cha Malawi. Ndio chama cha Rais wa kwanza Hastings Kamuzu Banda.
Kampeni zinaendelea.

Hakuna vurugu, kakuna fujo, hakuna polisi wanaopiga raia. Hakuna drama za kijinga za polisi kuvuruga mikutano ya wapinzani kwa taarifa feki za kiintelijensia.

Wanaotaka kuandamana wanaandamana, Wanaotaka mikutano ya hadhara wanafanya. Wanaotaka vikao vya ndani ewala. Ili mradi kila mmoja anatumia njia yake kushawishi achaguliwe.

Raia wa Malawi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida, tukila Nsima (ugali) na kusikiliza sera za kila mgombea. Ni mataifa machache sana duniani yanaweza kuwa na kiwango hiki cha demokrasia. Tunajivunia nchi yetu.!
 
Kwa hilo la kudai ziwa lote ni la kwao afadhali tu diplomasia iwe sifuri. Mambo ya kuvaliana ngozi ya chui yakome kabisa.
Uliisha baada ya Joyce Banda kujikuta sio raisi wa Malawi
Pia waliona mkwere kawapania kweli ikabidi wavunge tu

Ila mara madai ya kuwa ziwa lote ni lao huwa yanakuja kipindi cha uchaguzi kama hichi lkn nadhan wameamua kuwa wapole tu maana awamu hii diplomasia ni ZIRO

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Nchi ndio inatakiwa kuendeshwa kidemokrasia mkuu. Vyama vinaendeshwa kwa' corporate management' kwa hiyo kama CEO ana 'deliver' anabakia huyo mpaka atakaposhindwa.
Kama tungekuwa na demokrasia ya kweli ndani ya vyama vyetu leo hii toka 2005 tungekuwa na mwenyeviti 3 wamepita chama chetu cha Demokrasia yaani Mbowe, Chacha na Zitto ila kilichotokea Allah mwenyewe anajua
 
Hii haijakaa sawa mkuu. Yaani tuache kuiga mambo mema ambayo sisi hatuna kwasababu tu wao wanaitwa wamalawi na sisi ni watanzania ilhali wote ni binadamu? Labda tukiri kuwa na akili za chini kabisa na hivyo kuukana utu wetu!
Hatuwezi kuiga ya Malawi kwa sababu nchi yetu haiwezi kuwa malawi. Hata nchi za ulaya waanzilishi wa demokrasia nazo zimetofautiana. Historia ya TAIFA lolote ndiye muumbaji wa utamaduni wa TAIFA hilo.
 
Bandiko lingekuwa la maana kama Ungesema Democracy hiyo imefanya Malawi kuwa miongoni mwa nchi Tajiri Africa. Vyombo mbalimbali vya Utafiti vimeiweka Malawi ktk ranks tofaut tofaut za kimaendeleo. Mfano kuna vinavyoonesha Malawi ni ya 1,2 au 3 kwa umaskini Africa. Utaona democracy ya Malawi ni ZERO kabisa,democracy inaenda na MAENDELEO. Na wanaofuatilia Malawi watakubaliana nami kuwa moja ya sababu za nchi hiyo kuwa maskini wa kutupwa ni Pamoja na aina yao ya democracy. Unashindwa kuelewa Mutharika anafanya vipi kazi na Chilima au Muluzi. Ukienda Malawi utashangaa hii nchi ina Uongozi au inajiendesha yenyewe kwa jinsi mambo ambavyo ni ovyo kabisa, yote hii ni aina ya Democracy iliopo. Yapo mengi sana ya kuilezea Malawi kuhusiana na democracy iliopo huko ila itoshe kusema DEMOKRASIA LAZIMA IENDANE NA MAENDELEO nje ya hapo ni UPUUZI.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Mataifa mengi ya Afrika yanapiga hatua kwenda mbele katika demokrasia, kuheshimu haki za raia na kuvutia uwekezaji, Tanzania pekee yake katika Afrika ndiyo inayopiga hatua kuelekea nyuma.

Kinachotusaidia mpaka sasa ni kwa vile tu hapo awali tulikuwa juu kuzidi nchi nyingi za Afrika. Hata hivyo mpaka mwisho wa miaka mitano ya awamu hii, tutakuwa tunatumika kama mfano katika kuelekea kubaya. Kazi kubwa na ya taabu na gharama iliyojengwa kwa miaka mingi, awamu hii inavunjwa kwa speed kubwa bila huruma
 
Nadhani hujamuelewa vizuri.....kumbuka hata katiba inaweza kuruhusu lakini viongozi walioko madarakani wakawa waovu wa kuibinua katiba na kufanya mambo sanjari na matakwa yao kinyume na katiba, hivyo mtoa mada alilenga kuonesha uhalisia wa viongozi wa huko ktk kuheshimu katiba au demokrasia...
Demokrasia yote iliyopambwa kwenye hilo andiko imekosa maana baada ya kuona maneno haya, "rais Mutharika ameruhusu".

Kwamba hayo ni matakwa yake, na akijisikia anaamua kutokuruhusu.

Nilitamani kuona zaidi neno katiba badala ya rais.

- KANA -

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ndio inatakiwa kuendeshwa kidemokrasia mkuu. Vyama vinaendeshwa kwa' corporate management' kwa hiyo kama CEO ana 'deliver' anabakia huyo mpaka atakaposhindwa.
Bado hujafungua Mind yako! Unafikiri watu wanapolia hakuna Demokrasia ya kweli ndani ya vyama vyao huwa wanakosea? Unachokifanya kwenye Chama chako kina uwezo wa kuhakisi kwa 100% kile utakachokifanya ukishika madaraka!
 
Demokrasia ianzie nyumbani na kwenye vyama vya siasa. Haiwezekani unahubiri democrasia wakati nyumbani kwako ni dikteta, chamani ni udikteta hovyo kabisa.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom