Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 308
- 424
Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania.
Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako zao chanika huko, wangependa kwenda Kawe kushuhudia ufunguzi wa kampeni zao, wangefanyaje?Hapa chama lazima kiingilie kati, lazima kionesha kwamba kinajali. #OktobaTunatikiSamia #KaziNaUtu