Wanaoambukiza vvu

Wanaoambukiza vvu

Bw. Ufahamu

Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
15
Reaction score
1
Kuna baadhi ya watu wanaoambukiza-ambukiza virusi vya ukimwi makusudi-cally. Je, Wana JF, sheria kwa sasa inasemaje. Kuna mama mmoja amefiwa na mmeo kwa hilo gonjwa hafu yeye anahama maeneo anayojulikana na kujichimbia asikofahamika hafu kazi yake ni kusambaza tu. Naomba ushauri ili niwatume vijana wampe ushauri na saa kama itakuwepo!
:angry:
 
Mi naona ushauri nasaha ukawape hao wano dandia dandia wanawake kwa tamaa zao za kiamapenzi.
 
Back
Top Bottom