Wanaoambukiza vvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaoambukiza vvu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bw. Ufahamu, Apr 29, 2010.

 1. B

  Bw. Ufahamu Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna baadhi ya watu wanaoambukiza-ambukiza virusi vya ukimwi makusudi-cally. Je, Wana JF, sheria kwa sasa inasemaje. Kuna mama mmoja amefiwa na mmeo kwa hilo gonjwa hafu yeye anahama maeneo anayojulikana na kujichimbia asikofahamika hafu kazi yake ni kusambaza tu. Naomba ushauri ili niwatume vijana wampe ushauri na saa kama itakuwepo!
  :angry:
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mi naona ushauri nasaha ukawape hao wano dandia dandia wanawake kwa tamaa zao za kiamapenzi.
   
Loading...