Wanao penda hii kitu karibuni.

Wanao penda hii kitu karibuni.

omben

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
823
Reaction score
480
Ila kama wewe unanyanya paa usinywe, maana kwenye hii kitu panya,nyoka,inzi,nyuki,mende,mjusi,ndege,nyani,n.k viumbe karibu vyote vinakunywa hii kitu.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1360913646411.jpg
    uploadfromtaptalk1360913646411.jpg
    66.5 KB · Views: 596
Daah ! Kaka umenikumbusha kona za ilula,mafinga njombe,kibena,ifwagi,kibaoni,kinyanambo,matanana n.k, haya mambo yalikuwa yanatendewa haki yake kisawasawa. Mpaka vitoto vinapiga ulaka a.k.a munjwanga ! Ila sasa nimestaafu kwa sababu za kiroho zaidi !
 
Mkuuu, hapo umenikuna haswaaaaa, nimegema, nimelimilia, nimekunywa wa design zoteee, Eeee Mungu maisha yangekuwa yanarudi nyuma walahi ningethubutu!!!!
 
Yumwene mdibafu veve, ukunikwalisaa umuyago isala isi, leke ndidibulage ugimbi pede atelwike Inguluvi pamwambu pa limgunda la Mwamkuvasa huko kuchanya
 
Pombe ni pombe asikuambie mtu....muhimu rizim, ndo raha yake....
ni kipato tu kinachotofautisha aina gani mtu alikunywa au anakunywa sasa...mengine majina tu...
 
Ila kama wewe unanyanya paa usinywe, maana kwenye hii kitu panya,nyoka,inzi,nyuki,mende,mjusi,ndege,nyani,n.k viumbe karibu vyote vinakunywa hii kitu.

Mie hupenda ya mnazi.
 
Daah ! Kaka umenikumbusha kona
za ilula,mafinga njombe,kibena,ifwagi,kibaoni,kinyanambo,matanana n.k,
haya mambo yalikuwa yanatendewa haki yake kisawasawa. Mpaka vitoto
vinapiga ulaka a.k.a munjwanga ! Ila sasa nimestaafu kwa sababu za
kiroho zaidi !

dhuuu unavijua vituo karibu vyote haya mi nakuongezea tanangozi na ifunda
 
Mkangafu, mdindifu, mdongofu, in ascending order according to alcohol %
 
dhuuu unavijua vituo karibu vyote haya mi nakuongezea tanangozi na ifunda
haahaaa haaaaaa....si unajua ukizoea mitaa,niliona uvivu kumalizia kwamba maeneo ya mtwango,ihalimba,isalavanu,itandula,mtambuka,nyololo,makambako na kwingineko,hii kitu ni jadi yao !
 
Back
Top Bottom