mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,791
Hamna kitu humo
S5 ndo iko ivoHapo matakon kwenye tundu ya chaji kama sipaelewi,anyway kama umeipenda mwaga fweza
mbona wenye fake nao wanatoa warrant ya 2yrsIlo Famba mkuu achana nalo...
Kwanza linaonekana limepigwa sana lock
Yaonekana sio maalumu kwa Afrika Mashariki sasa wameliunlock kua makini achana nalo
Iyo yaonekana ilikua inatumika America sasa wameifyatua isome frequency za nyumbani Tanganyika
Kua makini dada angu. Hilo ni Famba. Ukitaka samsung og ...nenda dukani nunua zenye 2 yrs warranty smart cared
s5 akipata warranty ya 2 yrs naharisha mpk posta bila kuacha nafasi,Ilo Famba mkuu achana nalo...
Kwanza linaonekana limepigwa sana lock
Yaonekana sio maalumu kwa Afrika Mashariki sasa wameliunlock kua makini achana nalo
Iyo yaonekana ilikua inatumika America sasa wameifyatua isome frequency za nyumbani Tanganyika
Kua makini dada angu. Hilo ni Famba. Ukitaka samsung og ...nenda dukani nunua zenye 2 yrs warranty smart cared
Na hapo ndo panaitofautisha samsung s5 OG na fake, hio n Micro Usb port v3.0 (fast charge), pia panatakiwa pawe na kijimfuniko cha plastic and rubber kwa ajili ya water resistance hapo inaonesha kilikuwepo kikakatka, ikumbukwe s5 n IP67, kitu kngne unachotakiwa uangalie kwa nje kujua s5 n OG au fake n hio mistal ya aluminium huku pembezon kwenye flame, inatakiwa iwe mitatu kama hapo, mmoja juu, mmoja chini na mwingne mkubwa katkat ukiwa na MIC,, kwa fake inakuaga pungufu au zaid na size tofaut tofaut au sawaHapo matakon kwenye tundu ya chaji kama sipaelewi,anyway kama umeipenda mwaga fweza