Wanao hack account za watu wanafanyaje?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Nimesikia kuwa kuna watu wanaweza ku hack acount yako na kujifanya yeye ndio wewe,kwa mwenye kujua hii inakuwaje?anaweza kutumia hadi avatar na user name?
 
Hao hawahack wana duplicate yaani wanatengeneza account yenye username na picha kama yako. Kama mtu akifanikiwa kudukua account yako jua ni mtu wako wa karibu mwenye access na simu/pc yako hivyo akaiba e-mail address na password yako, sio rahisi mtu remotely kuhack account yako. Kampuni za hii mitandao zinaweka millions of dollars kwenye security so ni vigumu sana kudukua, itakua umesikia FBI kutaka msaada wa Apple ili wapate access ya moja kati ya simu za iPhone iliyotumika kwenye shambulio la kigaidi. Ingekua rahisi ukizingatia na ukubwa wa FBI hata wasingehitaji msaada
 
Hacking inafanyika sana tu
Hackers weng wakubwa wanatumia njia ya penetration,hackers wadogo ndo hutumia njia kama phishing ambazo ni ngumu kuhack account kama ya fb labda unaemu hack awe mjinga sana

Umewasifia wa hyo mitandao ina
security lakini wao wana play part yao tu part nyengine inategemea literacy ya user
Pia kumbuka hyo security inaekwa na watu lakin bado kuna watu walionje ambao kaz yao ni kutafuta holes tu kweny hzo systems na huwa hazikosekani na zikikosekana huwa inafanyika attack
Refer ddos attack iliyoifanya jamiiforum isiwe hewani siku ya uchaguzi
Ile attack ilikuw na lengo la kuifanya jf isiwe hewani,lakin kuna attacks huwa ni kwa ajili ya kuiba user data
Kuna kesi nying za watu kuibiwa hela during online transaction
 
Nimesikia kuwa kuna watu wanaweza ku hack acount yako na kujifanya yeye ndio wewe,kwa mwenye kujua hii inakuwaje?anaweza kutumia hadi avatar na user name?
Huyo anaefanya hyo hacking kweny level za hacking huitwa script kiddies
ni utoto tu kweny hacking,yani ni hacking ya level ya chini sana
 
, itakua umesikia FBI kutaka msaada wa Apple ili wapate access ya moja kati ya simu za iPhone iliyotumika kwenye shambulio la kigaidi. Ingekua rahisi ukizingatia na ukubwa wa FBI hata wasingehitaji msaada

Hapo ni validation tu nakumask security flow za apple, hakuna jpya na wala usitumie kuwa big head Hao apple.
 
Back
Top Bottom