Tunapendana nae sana tumeanza tangu primary hadi sasa tupo chuo tumepishana siku nne tu mwaka tupo nae sawa yaa umri.Nimepanga kumuoa yeye ila ndugu na marafiki wananitisha kuwa atanizeekea huko mbele ya safari.MMU nisaidieni
Unampenda kweliiiii, kigezo gani hicho cha kumwacha umpendaye, wangapi wamepishana hata miaka kumi na bado wanapendana????
Kukuzeeekea labda umzeeshe wewe manake bila matunzo mazuri kweli utamuona mzeee, tofauti na hapo usidanganyike, au unampotezea tu muda wake?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.