Wananitisha

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,721
19,863
Tunapendana nae sana tumeanza tangu primary hadi sasa tupo chuo tumepishana siku nne tu mwaka tupo nae sawa yaa umri.Nimepanga kumuoa yeye ila ndugu na marafiki wananitisha kuwa atanizeekea huko mbele ya safari.MMU nisaidieni
 
..hao ndugu zako hawana akili,age iz nothing just a number!!!hayo mapenzi yenu yameandikwa hata kwa mungu,endelea kuwabembeleza,watakubali tu
 
Unampenda kweliiiii, kigezo gani hicho cha kumwacha umpendaye, wangapi wamepishana hata miaka kumi na bado wanapendana????
Kukuzeeekea labda umzeeshe wewe manake bila matunzo mazuri kweli utamuona mzeee, tofauti na hapo usidanganyike, au unampotezea tu muda wake?????
 
hawakutishi bwana ila wanachokwambia ni uongo mtupu. kwani akizeeka ndo inakuwaje?? funga mkataba basi ili akizeeka unamwacha. vijana acheni mbwembwe
 
Back
Top Bottom