Hilo buzi linalokuhamisha mitaa lina shida sana
Unaondoka alfajiri na unarudi saa kumi usiku???
Uwe makini utungapo hizi stori
Yaani nakula ujana hadi majirani wananitazama kwa jicho la husda looh!!
Is it just me, or does this thread make no sense at all?
Hahahahaaa hilo buzi ni mwanaume mwenzio na inabidi umsifu kwa kuntunza au ulitaka wewe ndo uwe buzi langu? Sili cha mtu mie nakula pesa yangu, nakula ujana.... wengine wananiita popo, wewe waniita nani?
waaapi yaani hii ni life style 24/7 nikipumzika nimeenda kanisani na nikiwa kazini. Nje ya maeneo hayo ni kula ujana!!!