Pana wachungaji wasio na uelewa wowote kuhusu maandiko, KWA makusudi wao wameamua kuyapotosha kimakusudi wakitumika yule Muovu. Hawa huduma yao ipo ukonga stakishari wanajiita Grace club, ndio watengenezaji wa bidhaa za Grace sabuni, mafuta, nk.
Wao wanafundisha ya kuwa.
1. Amri kumi za MUNGU ni ushenzi, upotofu, ujinga kuzifuata.
2. Watu wanywe pombe makanisani.
3. Watu wavaae watakavyo kanisa hata uchi SAwa, kama ni mapaja mbona wanakula ya kuku.
Mungu uangalia moyo
4. Hakuna unyakuo
5. Kutoa sadaka, zaka ni wizi
6.
Mafundisho yao mengi ni potoshi