much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Ili upate utajiri kwenye dini labda uwe mpokea fungu la kumiSi kweli Mwafrika angefata dini KWA usahihi asingekuwa masikini.
Mwafrika afati dini bali anagusa dini,hakuna umasikini kwenye dini
Ili upate utajiri kwenye dini labda uwe mpokea fungu la kumiSi kweli Mwafrika angefata dini KWA usahihi asingekuwa masikini.
Mwafrika afati dini bali anagusa dini,hakuna umasikini kwenye dini
Mbona ilipotoka dini wao ni matajiriIli upate utajiri kwenye dini labda uwe mpokea fungu la kumi
Halafu nisipoenda kanisani mnanishangaa
Kikubwa utende wemaInafatana unaenda kanisa gani. Pia bora kutoenda ila ukatenda yale yanayompendeza Mungu kuliko kwenda kufundisha au kujifunza uwongo
Kama huo utajiri ungekuwa umeletwa na dini basi wasinge itupilia mbaliMbona ilipotoka dini wao ni matajiri
Hapo ndo penyeweKikubwa utende wema
Huoni madhara yawapatayo watu kuacha diniKama huo utajiri ungekuwa umeletwa na dini basi wasinge itupilia mbali
Kumbe ndo maana mafundisho yao yanapita humo humo kwenye falsafa zaoWalianzisha club hiyo ni.club ya mashoga,wasagaji na wa ndoa za jinsia moja
Hta zile jamii dhalili kabisa zinazodharulika kuja kujenga majengo na kuwa na uchumi mkubwa mfano watu kama wamasai Wana pesa Kwa sasa nayo ni daliliInasikitisha sana mtu kusema unafurahi maana unafurahia maovu ,haustuki na unarelax.
Hata kwa Waislamu mambo mengi yametabiriwa kuelekea wakati wa mwisho mfano ;
1.Magonjwa ya ajabu
2.Matetemeko
3.Watu kuvaa uchi.
4.Mauaji kuongezeka.
5.Zinaa kukithiri nk
Lakini huwezi kukuta Muislamu akisema anafurahi kisa utabiri kutimia bali hali hiyo inakuwa kama taa nyekundu ya kurudi kwa Mola ,wake kuzidisha toba ,dua na kuchukua tahadhari.Vilevile mtu kufurahia uovu ni sawa na kuufanya lililobora hata ,kukemea,kuzuia kama huwezi hata kuchukia kile kitu kwa nafsi yako...
Makanisa mengi kuna mbwa mwitu wakali wenye mavazi ya kondoo.Chagua kanisa la kuingia,mengi ni freemason
Mchawi ni SAwa kuuwa,usipomuua mchawi atakuua wewe au mwingineMakanisa mengi kuna mbwa mwitu wakali wenye mavazi ya kondoo.
Kuna makanisa maombi yao ni kuchinja wachawi, kuua wachawi, kuchinja maadui sasa nawaza lile neno linalosema Mungu ataandaa Meza mbele ya watesi wangu linatimiaje wakati maadui, watesi wakiwa wameshachinjwa wote?. Nyakati hizi ni za hatari sana, it's either unalijua neno au unakula takataka za hawa charlatan.
Walaa sihukumuPana wachungaji wasio na uelewa wowote kuhusu maandiko, KWA makusudi wao wameamua kuyapotosha kimakusudi wakitumika yule Muovu. Hawa huduma yao ipo ukonga stakishari wanajiita Grace club, ndio watengenezaji wa bidhaa za Grace sabuni, mafuta, nk.
Wao wanafundisha ya kuwa.
1.Amri kumi za MUNGU ni ushenzi, upotofu, ujinga kuzifuata.
2.Watu wanywe pombe makanisani.
3.Watu wavaae watakavyo kanisa hata uchi SAwa, kama ni mapaja mbona wanakula ya kuku.
Mungu uangalia moyo
4.Hakuna unyakuo
5.Kutoa sadaka, zaka ni wizi
6.
Mafundisho yao mengi ni potoshi
Tokeni mbali mkajitenge nao,uovu una nguvu.HAPANA UKISEMA SIWEZI ENDA KANISANI KISA YAMETOKEA MAKANISA YA MANABII NA WACHUNGAJI WA UONGO UTAKUWA MCHANGA KIROHO
Kuomba Ukiwa Nyumbani Pekee Kisa Tu Baadhi Ya Makanisa ya Uongo Yameinuka Hapo Bado Unakuwa Mchanga Kiroho Tena Ukiona KUNA KANISA LA UONGO LINAHUBIRI INJILI YA UONGO UKIWA KAMA SHUJAA WA YESU HAUTAKIWI KUHAMA NDIO LA KULIOMBEA HILO KANISA MPAKA HAO WACHUNGAJI WA UONGO AU MANABII WA UONGO WAANGUKE AU WAOKOKE WAMPOKEE YESU KATIKA KWELI.
UKIWA MKOMAVU KIROHO HUWEZI SEMA NITAKUWA NAOMBA MIMI MWENYEWE TU CHUMBANI MUNGU ATANISIKIA NA UNAACHA KWENDA KANISANI AMBAPO KANISA NI MWILI WA KRISTO KISA MAKANISA YA MANABII WA UONGO HAPO UTAKUWA UNAKOSEA SANA.
USIACHE KWENDA KANISANI DAIMA NA ENDELEA KUTAFUTA KANISA LA KWELI KATIKA KRISTO MANA YAPO MENGI TU.
MARAN ATHA - BWANA WETU ANAKUJA.