Wananiita Fundi siku hizi...!

Wananiita Fundi siku hizi...!

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,589
Reaction score
3,639
Naelekea umri wa Mtu mzima sasa, nimekuwa kwenye mahusiano ya Mapenzi pamoja na Kungonoka zaidi ya miaka 30 (thelathini).

Thanks to God kwani ningali na Afya njema na imara kufuatia yeye kuninusuru na Magonjwa mbalimbali (naamini watu wazima mmenielewa)

Nirudi katika mada (point), kama nilivyo sema hapo awali, nimekuwa katika mahusiano na Mabinti, Maanti na Majimama mbalimbali, kutoka Makabila tofauti, Wanene na Wembamba, Warefu na Wafupi, Weupe na Weusi, Wake za watu na Mademu wa Washikaji zangu.

Kifupi nimeweza kula URODA wa kutosha na hii jinsia KE...!

Nakiri nimepitia uzoefu mbalimbali na wa kutosha, kwani katika swala zima la MA-LOVIE DAVIE kila mmoja huwa na MANJONJO/ MADOIDO/MASHAUZI yake kutokana na wapi na nani alimfunda alipokuwa UNYAGONI.

Wapo baadhi niliyo wapata humu humu JF kutokea PM (shukran kwa muhasisi JF)

Baada ya kuwala URODA kwa muda mrefu, katika mitindo mbalimbali Laini na Mgumu ya Kimyakimya na Kelele wapo nilio wasukumia "Nyama" Bafuni, Jikoni, Sebuleni na wengine Chooni...!

Kuna baadhi niliwagongea Garden hawa ni mbali na wale niliyo wachapia Sakafuni, kwa kweli ni wachache sana niliyo wapa Shughuli katika Gheto langu lililo kuwa na Kitanda Tatu kwa Sita pia Kibovu (wengi wao walikuwa MASTOO).

Wengi niliwasoma Saikolojia yao, na hii ilikuwa ni baada ya kuwahoji (kwa mbinu za Kimahaba) nilgundua wengi wa Wanawake huchoshwa/wamechoshwa Kimwili na Kiakili na hapa ndipo nilipo kuja na Mbinu hii...!

bf8388f3909216fd3b9848c393bc6bb3.jpg

Sasa hivi wanachezea "MKUNYENYE" wakitoka hapo nawapa huduma ya Massage (kwa mkono wangu)

2dd066d14a96e9c875b3b5520533d323.jpg


Kitu na Boksi...lazima waseme (Jomoni Raha..hapo hapo Diii..)

38e299ce6bc5f466e869243c7918e6b7.jpg


Huduma hizi kumbe unaweza ukafanya kama hisani lakini ikawa ni Sumu kwa mwingine...!

2349557431f6a8a154f4db82b239a2a6.jpg


Ngoja niishie hapa kwa leo.
Ila wananiita Fundi siku hizi...!
 
NAHITAJI MASAJ OIL ILI NIBADILI QUALITY YA MASAJ NAYOWAFANYIAGA,,,,,,NISHAITWA FUNDI NA MIMI ILA NIKITUMIA NA HIYO MKUU NAHISI NTAKUWA ACCURATE ZAIDI
 
mie nolijua ulikia unawafanyia

masaj kwa maji ya mshumaa
Hiyo ni gharama mkuu..!
Kupata ujazo wa Kikmbe tu ni shughuli..
Labda ufungiwe ndani na Mamanitilie Mwezi mzima..
 
Back
Top Bottom