Wananichanganya sana pliz naomba mnisaidie!

Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME siachi and now on nipo kwenye kioo na ng'arisha sura.
kwa kioo wang'arisha sura? I can't believe this!
 
hahahaa dah toka jana nafurahi tu hyo ngeli jamani "i so handsome?mtumeee simama ukikaka 2mekwisha..
 
Duh,no wonder wanawake hawataki kuolewa nowdays kama wanaume wenyewe ndio akina cabaiser,ma men as you're calling yourself hebu soma mabandiko yote itakusaidia kujua unatakiwa kuwa upande gani wa shilingi to me you are sounding like a gay who is in denial stage.
 
khaaaaaaaaaaaa!

Duniani kuna vituko na ukistaajabu ya musa utaona ya firauni... Lolz!
 
Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME siachi and now on nipo kwenye kioo na ng'arisha sura.

I thought uko mtaani unasaka ajira na kutafuta mshiko kumbe uko kwenye kioo unang'arisha sura. Ng'arisha sura mwanaume jina upate wa kukulipia huduma zote na kukupangishia na cchumba maana wapo wengi wanatafuta watu kama wewe.
Mwanaume sio sura wewe mtu mzima ila akili za kitoto bana. Hao unaosema wana sura kama ugali wa jana ndo wanaume maana muda huu wako mtaani wanasaka noti na ajira. Wewe endelea kung'arisha zura utapata wa kukupenda.
Disgusting!!!!!!
 
Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME siachi and now on nipo kwenye kioo na ng'arisha sura.

Duh! nahisi una matatizo makubwa...
 
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.

umesoma nini huko?
 
Nikushauri k2 m2 wangu,apply chuo upya hapa bongo,uanze 1st yr,maana hyo elimu uloifata huko malaysia haijakukomboa bado..

hahahaha, hana pass huyu atasoma chuo gani?
afu niliwahi kuskia ma-cabaiser wote wameishia form two
 
hahahaha, hana pass huyu atasoma chuo gani?afu niliwahi kuskia ma-cabaiser wote wameishia form two
mnanchekesha wakuu huko malaysia alienda kuungana na wale waandamanaji wa Red shirt kaazi kweli kweli
 
Tatizo mambo unayo yasema na muonekano wako haviendani yawezekana Dem amesitukia kutapeliwa.......harafu unaonekana umefulia ile mbaya cha kukushauli naomba uendelee kutafuta Job kwanza..zen ndo urudi nikwambie ni yupi Dem wa kumchukua
 
huyu mhandsome kasoma kuala lumpa,yule mwingine university dodoma na one week south afrika,nyie vijana mnakula nini huko vyuoni?tuambiane maana naona akili zenu zooote km watoto wa nursery,thread zenu zaidi kama mnatafuta mabwana hamueleweki
 
acha uboya we2 tafuta mada nyingine ya kutueleza handsome ndo kitu gan tafuta pesa ndo itaamua kama we2 hand au co lakin maduu kama huna cash watakusumbua tu coz those btch always think s bout mny so mtu wangu just focus on money making i hop umenielewa

Cassablanca+ handsome=
utawapat tu kam una nia,endelea kwan ka CV kako n kazur kw hizo mambo
 
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
delusional-thoughts-hate-beauty-nails-delusional-rerun-demotivational-posters-1294185060.jpg
 
Back
Top Bottom