Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Jibu wewe.
Poa nshaelewa!
Jibu wewe.
Ndoa za kisasa hadi vikao na michamgo kibaao. Muoaji na muolewa wanakuwa na ndoto xa maisha matamu kwenye ndoa. Kinyume na matarajio wanajikuta wakikabiliana bayana na 'ndoa ni ndoano'.
Kinachofuata hapa ni stress na frustrationd, password zilizokuwa zigzag ni kwa hao waliofungs ndos kea kuchangiwa. Wakae labda miaka 20 mambo ya kufichana mambo madogo yataisha.