Wanandoa ya kweli haya?

Wanandoa ya kweli haya?

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,543
Reaction score
35,401
patterns
 
Attachments

  • 1434876694164.jpg
    1434876694164.jpg
    23.3 KB · Views: 1,939
...infact ipo vice versa ya single ndo complicated maana wao kambi popote so wanaogopa kugonganisha...
 
bora hao singo chapa ilale. ndoa ni ishu nyingine
 
Simu yangu mimi haina password, PIN, wala pattern. Ipo free tu. Naona uvivu kuwa na hayo ma "Authentification" yote, hayana umuhimu kwangu.
 
Kuna Uongo Na Ulongo.Mfano Mzuri Wa Ulongo Ni Huu.
 
Patterns ni ushamba tu kuna namna kibao ya kucheza na hio cm ata uwapange mia hawatajua mradi device iwe smartphone, mfano mimi ninao kibao na wote nawaachia washike cm watakavyo na hakuna ataegundua kuwa kuna wenzie ni trick tu na kucheza na hzi software
 
Ndo tabu yenu mainjinia wa uswazi!
 
Simu yangu mimi haina password, PIN, wala pattern. Ipo free tu. Naona uvivu kuwa na hayo ma "Authentification" yote, hayana umuhimu kwangu.

pia usumbufu tu
 
Patterns ni ushamba tu kuna namna kibao ya kucheza na hio cm ata uwapange mia hawatajua mradi device iwe smartphone, mfano mimi ninao kibao na wote nawaachia washike cm watakavyo na hakuna ataegundua kuwa kuna wenzie ni trick tu na kucheza na hzi software

umewapanga kama wangapi hivi mkuu? play safe
 
Simu yangu mimi haina password, PIN, wala pattern. Ipo free tu. Naona uvivu kuwa na hayo ma "Authentification" yote, hayana umuhimu kwangu.
Hahahaahahaaaa uko kama mimi tu. Sina huo muda aiseee
 
Kuna Uongo Na Ulongo.Mfano Mzuri Wa Ulongo Ni Huu.

Unaweza usiamini lakini huo ndiyo ukweli. Sina muda na hizo vitu. Na wala sijawahi kuweka. Sina cha kuficha wala kuzuia. Kama mtu akiamua kuangalia simu yangu aangalie tu, akiuliza namjibu kwa sababu sijamtuma.
 
Simu yangu mimi haina password, PIN, wala pattern. Ipo free tu. Naona uvivu kuwa na hayo ma "Authentification" yote, hayana umuhimu kwangu.

Mimi naweka password kumpa mwizi wakati mgumu akishaiba simu yangu...
Ila familia yangu nzima inajua password ya simu yangu...
 
Back
Top Bottom