Wanandoa/wapenzi

Wanandoa/wapenzi

Yani ulimi ambao utautumia kunena mambo ya hekima, kupatanisha Watu na hata kuhubiri habari za Mungu ukauweke mahala sio pake afu nawe unajiita msomi tena mwenye akili timamu kabisa, kweli?

Uume wako umeumbwa utumike wapi na ulimi uliumbwa kwa lengo lipi hasa katika maisha yako?
mimi siyo msomi.

Mbona mikono yako inayoshika biblia ndiyo unaitumia kushika hao wake za watu?

Sauti yako ya kumtukuza Yeye unaitumia kumuelekeza mtu lodge ili mzini.

Ulimi tu ndiyo umeuwekea limit?
 
Boss swala unaweza fanya life time? What if usipoweza
Nitashindwaje? Na nitakwama kwa lipi?

Yaani wakati huu wa miaka yote takribani 25 - 30 ya kuutumikia ujana wangu nisimfurahishe mke wangu? Kisa?

Yaani umetumia hoja ndogo sana brother.
 
Yani ulimi ambao utautumia kunena mambo ya hekima, kupatanisha Watu na hata kuhubiri habari za Mungu ukauweke mahala sio pake afu nawe unajiita msomi tena mwenye akili timamu kabisa, kweli?

Uume wako umeumbwa utumike wapi na ulimi uliumbwa kwa lengo lipi hasa katika maisha yako?
Umenena kama akili zote unazo
 
Ko utanyonya Uchi miaka yote
Nitashindwaje? Na nitakwama kwa lipi?

Yaani wakati huu wa miaka yote takribani 25 - 30 ya kuutumikia ujana wangu nisimfurahishe mke wangu? Kisa?

Yaani umetumia hoja ndogo sana brother.
 
Bible imekataa, huko ni kubadilisha matumizi ya asili ya viungo vyetu. Kila kiungo kifanye kazi yake ya asili, ukiendelea na mchezo huo wa kubadili matumizi ya asili utajikuta umebadili hata matumizi ya mku*d utataka utumie kwa ngono hata mdomo utata uutumie kungonoka kinyume na utaratibu wa uumbaji. Hayo ni mapepo yamekuvamia. Kemea mapepo

Uasili wa kitu unaupataje?
 
Daaah! Ha ha ha ha ha ha... Kidudumizi cha mapenzi sio?!
kakuambia nani kila kitu unarejea dini, kama we mfia dini tafuta mbingu achana na hayo mambo! Mambo ya mbunye yaliwavuruga mastaa kibao wa kwenye baibo, Daudi, Suleiman, Magdalena.... Ukimpata mtu mnapendana jipeni raha bila maswali maswali, vinginevyo una kigugumizi kwenye mapenzi
[/QU
 
Back
Top Bottom