Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Oct 26, 2011 #21 Khaaaa!kwan mwenye kuchokwa ni mwanamke tu!usiombe akuchoke mwanamke hatatumia silaha za kuua live ila unaweza ukanyweshwa hata chai ya mkojo bila kujua!
Khaaaa!kwan mwenye kuchokwa ni mwanamke tu!usiombe akuchoke mwanamke hatatumia silaha za kuua live ila unaweza ukanyweshwa hata chai ya mkojo bila kujua!
M MARTINSICHILIMA Member Joined Oct 17, 2011 Posts 38 Reaction score 8 Oct 26, 2011 #22 ya mwisho inaonyesha hawa jamaa walikuwa wanabariki ndoa na sio wanafunga ndoa. maana wamechokana na kinachofuata ni kutimiza maisha yatakavyo.
ya mwisho inaonyesha hawa jamaa walikuwa wanabariki ndoa na sio wanafunga ndoa. maana wamechokana na kinachofuata ni kutimiza maisha yatakavyo.