Mimi nilijua unauliza wanaolala chumba kimoja na watoto kumbe vyumba tofauti, ngoja wajeUnakuta familia ila ishi katika nyumba ndogo au vyumba vitatu na watoto kadhaa. Halafu mbaya zaidi nyumba au vyumba hivyo havina "sound proof".
Wakati huo huo kama tujuavyo ndoa ni tendo la ndoa tena lifanye kwa kujiachia haswa, watoto wa siku hizi nao ni balaa hulala kwa sikio moja na jicho moja. Najiuliza wanandoa wa namna hii mnafurahiaje faragha haswa wakati wa tendo? Na kulinda kuharibu maadili ya watoto?
Kuna experience hapaEasy...!mnakubaliana hakuna kuhema hema ..wala kuruhusu hisia zote kuzitoa
Siku mizuka imezid kipimo mlichokubaliana unapigwa kabali chini na juu tehetehNdo navyoishi mwenźako
sasa mambo gani ya kimya kimyaEasy...!mnakubaliana hakuna kuhema hema ..wala kuruhusu hisia zote kuzitoa
Easy...!mnakubaliana hakuna kuhema hema ..wala kuruhusu hisia zote kuzitoa
Jibu la kiutu uzima kabisa Mane! Naongezea point: Mkitaka kujiachia siku moja moja mnatoka out na mnakwenda kulala huko huko!!
sasa mambo gani ya kimya kimya
Siku mizuka imezid kipimo mlichokubaliana unapigwa kabali chini na juu teheteh
ok okOa utaelewa..hv hv huwez elewa