Wanandoa wanaoishi katika mazingira haya wanafanyaje faragha zao?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Unakuta familia ila ishi katika nyumba ndogo au vyumba vitatu na watoto kadhaa. Halafu mbaya zaidi nyumba au vyumba hivyo havina "sound proof".

Wakati huo huo kama tujuavyo ndoa ni tendo la ndoa tena lifanye kwa kujiachia haswa, watoto wa siku hizi nao ni balaa hulala kwa sikio moja na jicho moja. Najiuliza wanandoa wa namna hii mnafurahiaje faragha haswa wakati wa tendo? Na kulinda kuharibu maadili ya watoto?
 
Mimi nilijua unauliza wanaolala chumba kimoja na watoto kumbe vyumba tofauti, ngoja waje
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom