Unakuta familia ila ishi katika nyumba ndogo au vyumba vitatu na watoto kadhaa. Halafu mbaya zaidi nyumba au vyumba hivyo havina "sound proof".
Wakati huo huo kama tujuavyo ndoa ni tendo la ndoa tena lifanye kwa kujiachia haswa, watoto wa siku hizi nao ni balaa hulala kwa sikio moja na jicho moja. Najiuliza wanandoa wa namna hii mnafurahiaje faragha haswa wakati wa tendo? Na kulinda kuharibu maadili ya watoto?