Wanandoa Wanajifariji Pasipokujua uhalisia

Wanandoa Wanajifariji Pasipokujua uhalisia

huyu Kimetah akili yake bado ni magirini kabisa, wenzako wapo mbeya leo
 
kwa taarifa tu, maana ya kuolewa ni kutolewa bikra!!

Vivyo kwa wadada,m2 wa kwanza kujamiana naye huyo ndio mme wako,mtafute akuoe na si m2 mwingine!!

Hivyo mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na mke wa m2,akijifariji anamke

basi tambueni kama umeoa mwanamke asiye na bikra tambua unaishi na mke wa m2

n.b
ni kuutana kimwili na jinsia tofauti ya yako,
Nenda kwa kasi ka i utafute mwanandoa mwenzako,
507bae6f-a034-4091-b140-302875ab42ec.gif

Kwa hiyo definition ya ndoa kwako ni kugegedana tu. Vp circumstances zingine kama passion na huyo mtu.
Pia angalia na wakati ambao tunao na kizazi. Ngoja waje na wengine kama kina Eiyer, watu8, @ Dark City na wengine kwa michango zaidi juu ya hii mada yako
 
Last edited by a moderator:
Huo ni mtazamo wako sio lazima watu waufuate

By the way wanaume wengi wameumia kwa sababu ya kudhani ukimtoa Bikira msichana basi atakuwa wako milele. Wanaanza kuona wamemaliza kila kitu kumbe kuna safari ndefu baadae. Siku wakiachwa wanabaki wanashangaa
 
Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?

mmmhhh
Hahahaa haaaa best hii kali
 
Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?

duu!tisha sana your greater thinker!
 
Kwa hiyo aliyetolewa bikra kwa kubakwa akamfuate mbakaji? maana wengine wametolewa bikra na ndugu waliowaamini sijui hili unaliongeleaje?

Hapohapo. Kuna wengine bikra zao zimetoka bila hata wao kujua. Either walikuwa watundu sana au over active kama kupanda miti,kuendesha baiskeli na kucheza football hata sarakasi pia. Hawa mume yao ni nani mtoa mada?
 
Huo ni mtazamo wako sio lazima watu waufuate

By the way wanaume wengi wameumia kwa sababu ya kudhani ukimtoa Bikira msichana basi atakuwa wako milele. wengine toana bikra utoto wakati tunachez kibaba!
 
Kweli hiki Kimetah chronic,kwa akili yako mgando aliebakwa amtafute mbakaji wake ndo mume,kamuone psychatric ntalipia bill yako.. Kimetah

Sure thing mkuu, hajielewi
 
Last edited by a moderator:
Acha nipite tu mana wadau mshatoa majibu yooote...hpfully itawasaidi other men wenye mawazo km yake
 
Hapohapo. Kuna wengine bikra zao zimetoka bila hata wao kujua. Either walikuwa watundu sana au over active kama kupanda miti,kuendesha baiskeli na kucheza football hata sarakasi pia. Hawa mume yao ni nani mtoa mada?
Mtoa maada si mzima ni mgonjwa au amekaririshwa
 
Ngoja tu ni assume kuwa wewe sio fool
Hebu nieleweshe basi ulichokuwa unamaanisha ili niwe muelewa
Huko wapi niliko?
Ukweli gani??
Achana na kitoto hicho hata hakijui maana ya NDOA kwani hakijabalehe, vinatakiwa viende Facebook
Kimetah huu sio ugonjwa kweli wa Ng'ombe yaani ukifumuliwa Marida basi huyu mwanamume lazima akuoe kuwa uyaone
we pimbi kweli huelewi ata kilichoandikwa<<<! i can argue wit a fool,!
kama ndo upo huko pole kwa kukupa ukweli

wazazi wetu wote kuanzia Adam na Eva watoto wao hawakupitia hiyo Principal yako
Mfalme Daud alimtamani Mke wa Askari wake akamsakizia mstari wa mbele akauawa kisha Daud akaja kuza na huyo Mwanamke Mungu akamlaani mtoto wa kwanza akafa wa pili akawa Mfalme Sulemani aliyekuja KUOA wanawake 700 na mahawara 900 je aliwafumua wote BIKRA?
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahahahaha mtani kwann lakin kuntegua mbavu sa hiz!
af kuna kiota cha mishkaki ya firigisi luguruni pale dah!!
kimehareeb urasta wangu leo!
hebu fanya mmuvuzisho hapo!

Hahahah!!

Jirani mitoko kam ahii inabidi unaideclare in advance atiii....yu know wea tu faindi mi si eti eeenh
 
Blues yangu kwanza kuipenda was back in the 80's inaitwa Andate Andate by ABBA Group. Then later on Secret lovers by Atlantic Starr.
 
Kweli hiki Kimetah chronic,kwa akili yako mgando aliebakwa amtafute mbakaji wake ndo mume,kamuone psychatric ntalipia bill yako.. Kimetah
yan we dunya,
na akili yako yenye matope na inayofanana na iyo avart yako,
 
kwa hio ulizaliwa nje ya ndoa hahaaaaa! Mbwiga.......
 
Back
Top Bottom