Wanandoa Wanajifariji Pasipokujua uhalisia

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
kwa taarifa tu, maana ya kuolewa ni kutolewa bikra!!

Vivyo kwa wadada,m2 wa kwanza kujamiana naye huyo ndio mme wako,mtafute akuoe na si m2 mwingine!!

Hivyo mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na mke wa m2,akijifariji anamke

basi tambueni kama umeoa mwanamke asiye na bikra tambua unaishi na mke wa m2

n.b
ni kuutana kimwili na jinsia tofauti ya yako,
Nenda kwa kasi ka i utafute mwanandoa mwenzako,
507bae6f-a034-4091-b140-302875ab42ec.gif
 
Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?
 
^^
Una wazo zuri japo usisahau kuwa NOT EVERYTHING WAS MEAN'T TO BE
^^
 
kwa taarifa tu, maana ya kuolewa ni kutolewa bikra!!
Vivyo kwa wadada,m2 wa kwanza kujamiana naye huyo ndio mme wako,mtafute akuoe na si m2 mwingine!!
Hivyo mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na mke wa m2,akijifariji anamke
basi tambueni kama umeoa mwanamke asiye na bikra tambua unaishi na mke wa m2

Kwanza nakuomba ukubali kuwa wewe ni wa hovyo kwa sababu zifuatazo

1:Hujui maana ya ndoa

2:Umesema kuwa kuolewa ni kutolewa bikra,iweje kutolewa bikra kuwe ni kuolewa kwa wakati mmoja?

3:Huyohuyo ambae unadai ni mume wa huyo aliyemtoa bikra unadai amtafute amuoe,ulishawahi kuona mume anamuoa mkewe mara mbili?

4:Unadai kuwa mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na mke wa mtu,mtu mmoja anawezaje kuolewa mara mbili?

Kwa kifupi umeandika uozo mkubwa sana na unastahili viboko vya kutosha ......!!
 
Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?

Hahaaaaaaa. ....Bwana Yesu asifiwe...!
 
we pimbi kweli huelewi ata kilichoandikwa<<<! i can argue wit a fool,!
kama ndo upo huko pole kwa kukupa ukweli
 
Kwa hiyo aliyetolewa bikra kwa kubakwa akamfuate mbakaji? maana wengine wametolewa bikra na ndugu waliowaamini sijui hili unaliongeleaje?
kama itawezekana kumpata mana ndio mme wako
 
Na kwa yule aliyewatoa bikra wasichana wawili na kuendelea wale wote ni wake zake?

Vipi ambao bikra zao zinatolewa na mazoezi kama kuendesha baiskeli, kufanya kazi nzito waume zao ni nani?
 
Kuna wengine bikira zilitoka kwa sababu ya kuendesha baiskeli!Nadhani unachotaka kusema ni kuwa aitafute baiskeli imuowe!
 
Unaelekea demu uliembikiri anakusua kichwa sana baada ya kukupiga chini..... ulijiamini sana kiasi cha kumtesa mtoto wa with eti kisa umembikiri... siyo Mara zote wanawake mwalimu wao ni mmoja... SHAURI YAKO
 
Kuna wengine bikira zilitoka kwa sababu ya kuendesha baiskeli!Nadhani unachotaka kusema ni kuwa aitafute baiskeli imuowe!
ni kukutana kimwili na mtu mwingine wa jinsia tofauti mkuu
 
we pimbi kweli huelewi ata kilichoandikwa<<<! i can argue wit a fool,!
Ngoja tu ni assume kuwa wewe sio fool
Hebu nieleweshe basi ulichokuwa unamaanisha ili niwe muelewa
kama ndo upo huko pole kwa kukupa ukweli
Huko wapi niliko?
Ukweli gani??
 
kwa taarifa tu, maana ya kuolewa ni kutolewa bikra!!
Vivyo kwa wadada,m2 wa kwanza kujamiana naye huyo ndio mme wako,mtafute akuoe na si m2 mwingine!!
Hivyo mtu anadhani ameoa kumbe anakaa na mke wa m2,akijifariji anamke
basi tambueni kama umeoa mwanamke asiye na bikra tambua unaishi na mke wa m2

Kwa maana hiyo wanaume wengine wanatakiwa kuowa at least wanawake 20 maana ndo wamewatoa bikra zao,

Kwa upande mwingine wengine hawataoa kwa kuwa hawajawahi kumtoa demu bikra.

Hoja yako ni nzuri ila kwa dunia ya leo wote walishaondolewa bikra zao je wataolewa na nani kama siyo wewe, mimi na yule?
 
kama itawezekana kumpata mana ndio mme wako

Kweli hiki Kimetah chronic,kwa akili yako mgando aliebakwa amtafute mbakaji wake ndo mume,kamuone psychatric ntalipia bill yako.. Kimetah
 
Last edited by a moderator:
Na sie tuliotoa bikra wanawake zaidi ya mmoja??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?

Revola ndo wake zenu

Hao mlionao ni wake wa wenzenu
 
Kuna wanaume kwa mara ya kwanza tulianza kufanya mapenzi na mikono yetu kwa msaada wa sabuni revola, sijui ushauri wako tunautumiaje hapa?
ahahahahahahahaha mtani kwann lakin kuntegua mbavu sa hiz!
af kuna kiota cha mishkaki ya firigisi luguruni pale dah!!
kimehareeb urasta wangu leo!
hebu fanya mmuvuzisho hapo!
 
Back
Top Bottom