Hata kwa wanawake raha sana, hupikii toto la mtu, hulifulii unachepuka unavyotaka.raha yake hasa kwa mwanaume ni kuchepuka tu...
ila kimsimgi ni kero kubwa
acha basi..Hata kwa wanawake raha sana, hupikii toto la mtu, hulifulii unachepuka unavyotaka.
Mtaani nacheza vikoba zaidi ya sita hakuna wa kunikazia ruhusa, kila sherehe nahudhuria narudi muda ninaotaka...michepuko hapo no comment. Raha tu.
Si heri muachane Sasa .Binafsi huu ni mwaka wa 7 tunaishi mbalimbali na naenjoy zaidi nikiwa mwenyewe manake yule mwanamke kelele nyingi na masharti kibao, tangu kitambo nilishazoea kufua, kujipikia na kufanya usafi wa nyumba.
So kwangu sio inshu kabisa kuishi mbalimbali, kitaa nina michepuko 5 basi full burudani nasahau kabisa kama nina mke
Inategemea ntu ntu, halafu kama uko mbali nakuhudumia matumizi unasua sua utasaidiwa tu.acha basi..
nasikia wanawake mna uwezo mkubwa sana wa kukaa muda mrefu bila kugegedwa..
Tofauti na Men
Ni kama hakuna ndoa ,ni kwa sababu tu ya watoto ila nahisi wote Mimi na mama watoto wote tunajua hakuna ndoa serious Kati yetu ndo maana hata yeye alidiriki kutamka kwamba tulifunga ndoa ya bomani kwa sababu ya kulinda maslahi fulani ya kazini kwake,sasa kwa hali hii unafikiri kuna la zaidi hapaSi heri muachane Sasa .
Mpaka nimesahau kama ni mke wa mtuHata kwa wanawake raha sana, hupikii toto la mtu, hulifulii unachepuka unavyotaka.
Mtaani nacheza vikoba zaidi ya sita hakuna wa kunikazia ruhusa, kila sherehe nahudhuria narudi muda ninaotaka...michepuko hapo no comment. Raha tu.
Kama wao wanavyojisahau ni waume za watu.Mpaka nimesahau kama ni mke wa mtu
Ushatekwa na michepuko. Mama watoto aliropoka wakati mko sawa na mna furaha, lazima itakuwa aliropokwa wakat wa kipurukushani.Ni kama hakuna ndoa ,ni kwa sababu tu ya watoto ila nahisi wote Mimi na mama watoto wote tunajua hakuna ndoa serious Kati yetu ndo maana hata yeye alidiriki kutamka kwamba tulifunga ndoa ya bomani kwa sababu ya kulinda maslahi fulani ya kazini kwake,sasa kwa hali hii unafikiri kuna la zaidi hapa