Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

hyo hainaga ratiba bwana inategemeana na vibes zenu nyie km nyie baadae mtajikontrol tu watoto wakizaliwa..
Usiku unataka kugegeda, mtoto kaamuka analia usiku kucha, kugegeda sana kabla watoto awajawa na miaka 3 na kuendelea. Baada ya apo mapenzi hayanaga raha tena katika ndoa. Unamuacha mke unaenda kutafuta kiburudisho pembeni
 
Wakizaliwa watoto, ukidaiwa hela na fundi anayejenga nyumba yako, ukidaiwa ada za watoto shule, wadogo zako wakidaiwa ada chuo, shemeji zako nao wakidaiwa ada za shule ama chuo, na mama mkwe akija anahitaji nauli ya kurudi Ngara urudi hapa uje utusimulie kama bado unagegeda kila saa kama unavyosema!
 
Hakika sitazeeka.
 
huu ndio ukweli sidhani kam kuna limit...mkipata mihemko tu hamna budi kujipa raha si kila mmoja aliondoka kwao akafata hiyo kitu kwani kwa wazazi hakukuwa na vyakula au mavazi...

mtakapojisikia tu basi kwa raha zenu tabu ya kujibanabana inahusuu
Wacha wee alafu nasikia wanyeramba kwa kupigana miti hamjambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…