Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

Kwa iyo so chini ya Mara 18.5 kwa cku
 
😱😱😱 uko pabaya kwa kweli bila mmbelezo sijajua game itakuaje ,,,maana naeza sema staki hata kama nataka ili tuu kubembelezwa kuchukue nafasi yake😛😛😛
Oooh kumbe hiyo ya sitaki nataka!! Hiyo sio mbaya.
 
Majukumu yakiongezeka. Na mtoto tayari mnae au mnao, inaweza pita hadi wiki moja hujagonga
msisingizie watoto jamani ni wajibu wa wanandoa kupeana kila kunapokuwa na uhitaji..

kwani watoto wanashikilia mitalimbo hiyo au vitumbua hivo??
 
". ..yaan hata yeye mke mtarajiwa asipokua karbu hua nalazmika kutafta mchepuko ili kulituliza dushe...."

Haya kila la kheri na ndoa yako.
 
Inategrmeana na wingi au uchache wa hormone zako na zake.
 
kindly click here to read[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

kama unamaanisha wiki yenye siku saba basi si chini ya mara 21 yaani 1x3/7
Huyu kwa mwezi anaweza jaza sperm ndoo ya lita10 kwa mtindo huo wa kutwa mara 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…