Aisee kuna issue ya sox,utatafuta unapata rangi tofauti...kwa hali hii bora nijipangie mwenyewe kuokoa muda wa kudamka usubuhi...
hakuna hata haja ya chumba, kama kapange inakuaje?? Anunue la milango6 wajinafasi wote
hivi hilo kabati unaloongelea ni la aina gani..kwa mfano kama una kijichumba cha kuweka nguo na kimegawanywa makabati ya ukutani mawili..lake na lako...huo muingilianao unatokea wapi?....kutatua tatizo hili ni kujenga chumba maalumu kwa ajili ya kutunzia nguo.
wenzetu wazungu walishaliona hilo na kutafuta suluhisho la kudumu....tuwaige kwa haya machache mazuri.
Yaani bedroom, mke hata awe mstaarab kiasi gani kikawaida huwa anameza nafasi ya uhifadhi wa nguo.
Kama ni kabati atajaza nguo zake mpaka wewe uhamie masandukuni na huko usipokuwa makini utakuta kaanza kuweka nguo zake inabidi uhamie kwenye mabegi.
Pia huko atajaza na kwa sababu wanaume hatutaki usumbufu wa kutafuta na kupekua nguo utampisha utafute namna ya kutundika nako huko atakufata utakosa nafasi ya kutundika.
Wakati huo chumba kitakuwa kama store, nyie wamama nyiee.
Vichwa vyenu made in wapiii?

Taabu ipo kwenye sox...halafu uwe una haraka..ushaiona nyeupe unaamua kuivaa...tafuta enzake huioni,,,,kila ukipekua zinatoka nyeusi,:A S angry:
Nimesahau kabisa zoezi la kupanga nguo maana sina sehemu maalumu ya kuziweka kila siku nahama kama mkimbizi nimejiamulia kuvuruga tu utaratibu ila tatizo akisafiri natamani kupaa maana bila kumpigia simu anielekeze hakika navaa sox tofauti nimejikuta nimerudi utotoni kwa kutegemea kuambiwa kipi kiko wapi kisa ni yeye kumiliki kila sehemu haa haaa nshawahi kumuuliza "ivi tunawindana?"maana kila nikihamisha nguo zangu ananifata wakati nna vishati na suruali vichache.
Chumba cha kupanga aweke kabati la milango 6? Wenyewe wanavyojenga vidogo ukiweka kitanda cha 6*6 hata pa kugeukia ni shida.
basi waweke na uvunguni au wapange chumba cha nguo
hahahahahahaaaa! mbavu zangu!...nguo uvunguni....!
Aisee kuna issue ya sox,utatafuta unapata rangi tofauti...kwa hali hii bora nijipangie mwenyewe kuokoa muda wa kudamka usubuhi...