Wanandoa njooni huku

Wanandoa njooni huku

Kidasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
309
Reaction score
109
Hii thread ni kwa wanandoa especially upande wa kiume,lakini nitashukuru sana hata upande wa kike ukachaingia:Wazee hebu fikiria tangu ulipomjua huyu ambaye sasa hivi unamwita mke,anzia tangu uchumba wenu hadi sasa, je umeshawahi kufikiria haya ambayo mimi sometimes nayafikiriaga:
1.Hivi huyu mke wangu tangu nimjue hadi sasa tunaingia mwaka wa tisa kwenye ndoa yetu na mwaka wa kumi na moja tangu tufahamiane,je katika kipindi chote hicho hajawahi kumpa papuchi mwanaume mwingine kweli.
2.Je ataendelea kuwa mwaminifu mpaka tuzeeke bila kuguswa na njemba yoyote,Yaani dudushele langu tangu namjua mpaka nazeeka ndio liwe linaingia tu kwenye papuchi yake.
3.Ushawahi kujiuliza angalau utamani kumwona mwizi anayemchukua mkeo,umwone live anavyomkunja mkeo,na jinsi mkeo anavyompa ushirikiano. (Hakika kwangu nikiona live ufasaroo lazima utahusika)
4.Je mkeo akitongozwa huko nje,anawajibujibuje hao jamaa ?
 
Japo kuchungulia kifanyio kingine kuona kama na cha musee kipo hivyo hivyo kunahusika.
 
hapana sijafikiria, nawala sitaki kujiuliza hayo maswali....
 
acha kujitia presha buree, ukimchunguza sn samaki huwezi kumla. jenga imani tu kuwa kila kitu kiko ok. km humwamini najua usinge muoa!
 
rafiki utakufa kwa pressure, unachungulia hafu unakuta jamaa kajiunga na mini kabaang, yote ya nini hayo, tumekutana ukubwana na sijazaliwa naye, tupa kule
 
Wanawake ni watu makini sana kwenye hii sector, sio kirahisi kivile unavyofikiri!!
 
hayo mawazo mara nyingi huwa yanawajia wazinzi, umeshahangaika na nyumba ndogo bila kushikwa sasa unajiuliza kama na mkeo ana tabia kama zako!!
 
life is good kujipa stress ya nini.... jua hivi ukiwa unawapa watu wengine utamu wake na yeye atawapa watu wengine utamu wako.... kwa hiyo usikupe shida
 
Mkuu hebu futa mawazo hayo! Ukija kujionea naamin utakujafanya kitu ambacho dunia itakuzungumzia! Wenzako sku kadhaa zilzopita kidogo tumwage utumbo wa mtu. Hii kitu asikwambie mtu roho ya kibinadamu hupotea ila unyama ndo huchukua nafas ufoo saro alikuwa sahihi kabisa
 
huyo anayetaka kujiuliza hayo maswali, yeye mwenyewe alishajiuliza amecheat mara ngapi?
 
Nadhani dushe lako linachungulia mashimo mengi sasa wawaza kama na yeye afanya kama wewe..
..
 
Mkuu hebu futa mawazo hayo! Ukija kujionea naamin utakujafanya kitu ambacho dunia itakuzungumzia! Wenzako sku kadhaa zilzopita kidogo tumwage utumbo wa mtu. Hii kitu asikwambie mtu roho ya kibinadamu hupotea ila unyama ndo huchukua nafas ufoo saro alikuwa sahihi kabisa

kumbe ile sredi ilikuwa based on true story! !!!?p
pole sana
 
Daiwa waza vyema ndo utatenda vyema. Ukimuwazia mwenzio vibaya, hakika utamtendea ndivyo sivyo. Namuwazia mema mama watoto wangu na sipendi kabisa kuchafua fikra zangu kwa mambo ambayo sina uwezo wa kuyazuia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom