Wanandoa kukaa vyumba tofauti ni mapenzi ya mungu??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Wapo wanaoamini kutokana na shida wanazopata kwenye ndoa basi soln ni kukaa chumba tofauti..wapo wanaoamini kukaa vyumba tofauti huku ni kumkaribisha pepo.shetani kwenye nyumba yao...na pia wapo wanandoa ambao walifika kwa watumishi wa mungu kuwaelezea mume ama mkeo alivyo kicheche..na kumueleza kwa mtaji huo nimeamua kukaa chumba kingine na mtumishi wa mungu kubariki kabisa tendo hilo..kidogo nashtuka na naitaji kujua je ni mapenzi ya mungu..niliwah kumuuliza mpendwa mmoja akasema mke wake anagawa kama karanga mbichi maana wapenzi wa mbichi mnajua zinavyokimbiliwa na kil ammoja tofauti na kukaangwa..akasema ameamua kukaa chumba chake na kumwachia mkewe na ameshamwambia pastor amesema ana pingamizi na hilo la kuhuzunisha wote wako kanisa moja.....kwa kweli sikutishi ila nakujulisha ukweli ndio huo usisikie ndoa kwa mwenzako wacha ikuguse ndipo utakapojua ndoa nini???ndio maana siachi kuleta mada za ndoa ili ukiamua kuingia ujue umeingia mchezo wa lala salama akuna dk 30 za nyongeza wala penalt
DK 90ogame over...amua sasa jitahidi kumwomba mungu saana sana...usiingie sana kibinadamu haya mambo utaadhirika na familia wakicheka wasivyo na adabu bila kujua unapoumia wewe nao wanaumia...kupunguza vikao visivyo na idadi jitahdi sana kumtanguliza MUNGU mpaka ngwe ya mwisho..usiogope kama umeona dk ya 89
mchezo mbovu usiogope kutoa RED kadi ikifika 90 hilo lako...amua sasa

nawatakia kila la kheri wajandoa
 
mbona unatisha wenzako Pdidy? ina maana kwenye ndoa kuna mabaya tu? mbona huleti mada za mazuri ya ndoa?
Ndoa siyo mbaya kihivyo bwana, inategemea tu na umeoa/ umeolewa na nani. cha maana ni kumtanguliza Mungu katika kuchagua mchumba mwema na kuendelea kuomba ukiwa ndani ya ndoa ili kuweza kuishi kwa amani.
 
cha maana ni kumtanguliza Mungu katika kuchagua mchumba mwema na kuendelea kuomba ukiwa ndani ya ndoa ili kuweza kuishi kwa amani.
si ndio nilichoandika mpwa wangu..naongea hivi wengi wanaingia kwenye ndoa kujaribu kama wanaweza ....
 
Back
Top Bottom