Wanandoa, hii imekaaje?

mkùu we wasema, ktk u-bf/gf unakuta mtu anatoa masharti huyu rafiki yako ctaki kumsikia na urafiki wenu ufe. hapo hamjafunga ndoa je mkifunga ndoa je.... utachaguliwa marafiki

Mambo ya udikteta tupa kule!
 
kama alikuwa ni best friend, siyo mpenzi, ni wazi kabisa huyo mtarajiwa atakuwa au ameshakutana naye au ameshamsikia sana kutoka kwako. kwa maana hiyo sidhani kama kuoa/kuolewa kwako kutabadilisha fact kwamba huyo ni rafiki yako.

Well said bidada!
Ila kuna mijitu ina wivu hiyo, haimini kuna urafiki sencire kati ya Adam na Aneth.
 
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?

.....mara nyingi urafiki hupungua/kuishia hapo, sababu aidha mume au mke atataka ati yeye ndiye awe "Best" friend wako.
 
Inategemea na aina ya mwanamke, kuna wanawake wengine yani hawafai unaweza kupoteza hata rafikizo wa jinsia yako.
 
charminglady Nasema baada ya ndoa inabidi ubadilishe life style na hata marafiki wengine inabidi uwapige chini.
Mimi nimeshakuoa sasa unakuwa na rafiki mwingine kiume wa nini?
Mfanye mumeo/mkeo awe ndo rafiki yako katika shida na raha wengine piga chini.
Mimi sintakuelewa kabiiiiiiiisa.
 
Last edited by a moderator:
urafiki unaendelea isipokuwa kuna utani mengine unatakiwa kupunguzwa kama sio kuachwa....kuna rafiki yangu kabla ya ndoa BF wake alikuwa na mazoea ya kutaniana sana na mdada mmoja baada ya ndoa wakaendeleza utani wao daah ilikuwa patashika na hii ilitokana na mke kutokujua utani wao ulikuwa wa kiwango gani
 
Lovers or gfrind/byfrinds for that matter COMES AND GOES...bt friends will stay by your side forever! usiache mbachao kwa msala upitao.. I wouldnt trade my friends for anythng on ths planet, dead or alive! If you have been in love b4 and loved your woman with every breath of your life,sacrificed almost evrythng for your love including your friends and ethos only to be betrayed at the end of the day...then u shud understand ths better than anyone! mwsho wa siku its your friends (irrespective of gender) who keeps your smile on and alive after a horrible dissapointment from the so-called lovers....mimi nawathamini sana marafiki zangu, they mean my where I am today(where my lover found me)!
 
charminglady Nasema baada ya ndoa inabidi ubadilishe life style na hata marafiki wengine inabidi uwapige chini.
Mimi nimeshakuoa sasa unakuwa na rafiki mwingine kiume wa nini?
Mfanye mumeo/mkeo awe ndo rafiki yako katika shida na raha wengine piga chini.
Mimi sintakuelewa kabiiiiiiiisa.

Asante mkuu kwa mchango wako, tukienda mbali zaidi huenda huyo rafiki alikuwa karibu mpaka mkaanzisha kibiashara ama kikampuni unafikiri huo urafiki utaishaje? hapa ni pagumu eti...
 
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?

Niliendeleza uhusiano huo wa kweli na hata mke wangu nilimruhusu aendelee nao wake. Unajuwa ni kwamba urafiki wa kweli kati ya watu wa jinsia mbili unaonekana hata wakitembea pamoja barabarani, na urafiki wa kimapenzi jitahidini kuuficha vipi alama zitajionyesha.
Mimi kabla ya ndowa mara nyingi nikumuhadharisha mwenzangu na wanaume waliojidai kuwa na uhusiano wa kawaida kwake na pale aliponibishia basi mara zote alikuja kuungama kuwa yule kijana kumbe hakuwa na urafiki wa kweli.
Rafiki wa kweli na rafiki wa kimapenzi wana njia tofauti za mawasiliano.
 
bahati mbaya nina rafiki wakike 5 tu the rest ni wanaume.........
na nina best friends wawili...
mmoja wa kike mwingine wa kiume...

mwenza wangu ananichukulia jinsi nilivyo...anawafahamu na hakuna siri hivyo haimpi hofu
 
Mfanye mumeo / mkeo kuwa rafiki + mpenzi + jirani wa pekee katika maisha yako baada ya ndoa...hutasumbuka na maswali au mabo kama haya kwani automatically utawashau wote wa zamani.
 
Mfanye mumeo / mkeo kuwa rafiki + mpenzi + jirani wa pekee katika maisha yako baada ya ndoa...hutasumbuka na maswali au mabo kama haya kwani automatically utawashau wote wa zamani.

Usemayo ni kweli mkuu, issue inakuja pale ambapo wakati wa urafiki wenu kuna vitu vikubwa mmefanya kama investments, kwa hiyo ndo muanze kugawana ili kuvunja urafiki?? kumbuka hiyo investment ndo imekulete amafanikio na unaitegemea kwa kiasi kikubwa. yan hapo ndo inapochanganya!
 
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?

hapo inatakiwa kuwa muwazi kwa mkeo/mme umujulishe marafiki ambao siyo wapenzi ili ajue kuwa unapowasiliana nao si kwasababu ya kimapenzi ila ni kwa ajili ya mambo ya kimaisha. lakini kama hamutakuwa wawazi katika ndoa yenu basi urafiki huo utasababisha ndoa kuvunjika kwasababu katika ndoa lazima mmoja ama wote atampenda mwenzie na katika upendo huo wivu hauepukiki haswa mmoja wenu anaposikia mawasiliano ambayo si ya mendeleoila ni ya mahusiano.

munapofunga ndoa basi kuheshimiana kati yenu kiwe kipaumbale kwasababu kama hakuna heshima basi kutakuwa na kitu kimeingilia ndoa hiyo na kusababisha mmoja wa wanandoa kumdharau mwingine
 
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?

aisee umenigusa sana maana nimekumbana na mgogoro unaofanana na huo
 
Back
Top Bottom