Wanandoa hii hali imewahikukukuta?

Wanandoa hii hali imewahikukukuta?

Yaani unijazie chakula ninenepe nife? Ndio maana majitu yakioa yananenepa kama kitimoto mwisho wa siku sukari na presha halafu nguvu za kiume zinakuishia unachapiwa ndoa inavunjika. Kula kwa kiasi na ule chakula kilicho balance diet zote.

Mie najipakulia mwenyewe na nakula chakula kidogo, matunda kwa wingi na mboga mboga. Huyo mkeo hana elimu ya lishe bora
Kabisa mkuu unajua baadhi ya makabila wanajua kuwa mwanaume apewe mavyakula mengi anenepe ndio wanaona sawa kumbe mawanga mwengi mwisho wa siku likitambi iloo sukari kifo
 
Mmh!!! una bahati, mie mke wangu, ni mchoyo kiasi ambacho sijapata kuona, hawezi kukuwekea chakula cha kutosha hata siku moja, ata iwe chai atakuwekea robo tatu ya kikombe, akinijazia kikombe atakuomba badaye upunguzie mtoto, siku moja maid alipakua chakula cha kutosha, ila aliumia kimwoyomwoyo, badaye alikijosogeza eti tule wote wakati kila siku nakula peke yangu, yule mama wakisiginda ni balaa anakila aina ya tabia duh sijui kama ntakuja kumpona. Sema tu nina watoto nae ila ningemkibia tu.
Pole sana mkuu
 
Yaani unijazie chakula ninenepe nife? Ndio maana majitu yakioa yananenepa kama kitimoto mwisho wa siku sukari na presha halafu nguvu za kiume zinakuishia unachapiwa ndoa inavunjika. Kula kwa kiasi na ule chakula kilicho balance diet zote.

Mie najipakulia mwenyewe na nakula chakula kidogo, matunda kwa wingi na mboga mboga. Huyo mkeo hana elimu ya lishe bora
🤣🤣🤣🤣🤣 nimejikuta nacheka maana comment uliyo weka, nikiangalia na avatar yk ni vitu 2 tofauti
 
Mkuu iyo ni kawaida sana...mimi nina mwaka na... Hakuna kitu wake wanapenda kama sifa. Mume akishiba anajisikia vizuri sana,usiposhiba anahisi umekula sehemu au hujapenda chakula chake. Pia mume akiwa na afya mke anasifiwa anajua kulisha na kutunza anaepuka maneno toka kwa mawifi au mama mkwe.

Tena mpende sana mkeo mana anakujali,kuna wake wengine akitenga chakula yuko chumbani anachat,kula usile utajua mwenyewe.
Itoshe tu kusema ANAKUJALI.
Itoshe kusema uzi ufungwe Umemaliza kila kitu.
 
Huyo unatakiwa umkutanishe na Dokta wa Lishe au wataalamu kama Dokta Janabi mkiwa pamoja apate elimu atolowe ujinga kichwani mwake.

Wako wengi sana kwenye jamii waume kwa wanawake.

Kwanza werevu wengine mlo wa usiku wana skip completely [emoji108][emoji108]

Halafu utake kunishilia chakula aaah wapi yarabi nafsi yangu wewe kama kulia lia tu mwaya !
Usipokula usiku, kesho kichwa kitauma.
 
Mwanaume anakula na kumaliza hotpot ww unakwama wapi.
Wafanyao haya ni wanaume wa Pwani wasio na kazi, wao wakiamka tu asubuhi wanavaa shuka na kushinda migahawani kuongea porojo, akirudi nyumbani ndipo anashambulia chakula kama mwizi fulani hivi. Akimaliza hapo anarudi tena kijiweni kujisifia kuwa anakula sana na yeye ni mwanamme halisi.
 
Yeye anataka ndiye awe ananipakulia. Mila na desturi si unajua
Huu ni ujinga, kuna vitu vingine vimepitwa na wakati, chakula kinawekwa mezani mtu unajipakulia size yako si kulazimishwa kula kama mgonjwa kwashakoo.
 
Huyo anaona kazi yako kitandani haijatukuka.
Anataka ule Sana huenda utaongeza juhudi.
Kama ni hivyo basi wote si mwanamme wala mwanamke hawana akili, kula sana hakukufanyi kuwa na nguvu za kiume zaidi, yabidi kuzingatia mlo na kula vyakula sahihi. Si kufakamia tu liugali sawa na mlima Kilimanjaro au kula sufuria nzima ya wali, yabidi kula chakula sahihi mkuu na kufanya mazoezi ya mwili utafurahia gegedo na kujiona wewe ndiye uliyeanzisha kugegedana duniani kwa kuwa na nguvu za ziada.
 
Dah!!!!, Umenikumbusha nilipoenda Ukweni huko kwa Wafipa, nakwambia unapewa msosi kibao halafu wanakusisitiza umalize.
Umeshaharibu hali ya hewa tayari. Wafipa na Waha ile ni habari nyingine kabisaaaa.....wanakupa chakula kingi, ndani wamechanganya na matunguli yao, unakula mpaka unazirai, usiku wanakubeba kwenda kukutumikisha kuona kama unajuwa kazi ili wakusifie mkwe ni mchapakazi. Unashangaa ulipewa chakula kula ukiwa msafi, unaamka baada ya kuzirai uko mchafu na nguo zote hazitamaniki.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hili hata mimi niliwaza hivyo hivyo. Kuna mwanamke nilishakuwaga nae kwenye mahusiano akawa hataki nivae vizuri eti nitapendwa na wanawake wengine. Yani anataka niwe rafu rafu tu.
Mkuu hawa viumbe we waone hivihivi. Akili zao wanazijua wenyewe
 
Pole sana... Mkazie, hata akilia mambo yake muachie mwenyewe... Siku utakuja kujinyea...




Cc: mahondaw
 
Ww utakuwa umeoa wale wa kule kwetu usukamani. Huwa wanaona fahari akikujazia chakula cha kutosha na ukamaliza. Yuko radhi umalize chote hata yy asile muda huo.😀
Dah!.. wazuri Sana hao
 
Back
Top Bottom