Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,491
Hio nmeona sana mwanamke anapenda kuona mwanaume anakula sana
hahaha! bro niashalipita mm hlo, we kumkomoa mshawishi muwe mnakula sahan moja hadi mwisho..Maajabu hayaishi, subiri wengne watashauri umtie vibao
Ndoa zina mengi.
Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.
Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.
Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.
Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Huenda uko sahihi. Ntaanza kula sana niwe namaliza sahani nzimaHuyo anaona kazi yako kitandani haijatukuka.
Anataka ule Sana huenda utaongeza kuhudi.
Makubwa!Mkuu we hujawajua wanawake hila zao. Hapo anachotaka yeye ni kwamba anataka unenepe, uote likitambi, upoteze mvuto ili usitamaniwe na wanawake wengine! 😂😂😂
Kha wee umeoa kijischana. Alafu mke anakulazimishaje kula bwana....wee ndio father house ukisema nataka chakula kidogo mke lazima aheshimuNdoa zina mengi.
Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.
Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.
Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.
Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Kumbe tukila halafu tukauachia hua mnasikia raha...?Hata mimi napenda hubby ale haswaa tena mpaka tonge la mwisho,lakini ale ashibe kwa kiasi chake mambo ya kumlazimisha ale mpaka avimbiwe hapana,huyo mkeo ni wale wanawake ambao mume akijamba ndio heshima kwake kuwa umekula umeshiba,sasa ww ukila hata kujamba hujambi anajua hujashiba.................kula mzee umjambie mkeo afurahi.
Kipindi tunaoana mimi nilikuwa na kilo 65 yeye 60 lakini sasa hivi yeye ana 79 mimi bado nachezea 64-67, Labda anataka niongezeka uzitoHuyo itakuwa ni wale wanaopenda wanaume wenye vitambi au wanene,kwahiyo possibly kwakuwa wewe una mwili wa kawaida au mwembamba anapambana ili akufikishe kwenye huo mwili...
Kuwa mbunifu kwa mfano.....kabla hujarudi mwelekeze mapema sana kuwa asile mpaka urudi then akishapakua chakula unamweleza kwa maneno mazuri kuwa mle sahani moja kwasababu nyinyi ni mwili mmojaNdoa zina mengi.
Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.
Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.
Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.
Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
mkimaliza kula mnakunywa kama maji kwa gras moja au kahawa kwa kikombe kimoja then mnaenda kujifunika....moja then urudi na mrejesho hapa kwasababu umeamua kuweka wazi mambo ya familia yako!Tatizo liko wapi hapo hapo, mwache alie kisha atanyamaza ww chapa lapa tu, we unadhani unaweza kuwaridhisha hao watu.Ndoa zina mengi.
Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.
Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.
Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.
Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Nyakati zimebadilika Sana. Mshauri Mkeo akupikie chakula kwa mpangilio wa protein na Mboga za majani na matunda ndio viwe mlima kwenye sahani, na sio wali au ugali, ndizi au tambi. Magonjwa nje nje.Ndoa zina mengi.
Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.
Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.
Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.
Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Eee wanawake wengine hupendaKumbe tukila halafu tukauachia hua mnasikia raha...?
Ndio maana basi kasemwa sanaKipindi tunaoana mimi nilikuwa na kilo 65 yeye 60 lakini sasa hivi yeye ana 79 mimi bado nachezea 64-67, Labda anataka niongezeka uzito