Wanandoa hii hali imewahikukukuta?

Wanandoa hii hali imewahikukukuta?

Nawe mpe mtihani kuwa hunipendi ndo maana unakula peke yako.Watu wanaopendana wanakula sahani moja sasa itabidi uwe unanisubir tunakula wote.
 
Mkuu we hujawajua wanawake hila zao. Hapo anachotaka yeye ni kwamba anataka unenepe, uote likitambi, upoteze mvuto ili usitamaniwe na wanawake wengine!
Hili hata mimi niliwaza hivyo hivyo. Kuna mwanamke nilishakuwaga nae kwenye mahusiano akawa hataki nivae vizuri eti nitapendwa na wanawake wengine. Yani anataka niwe rafu rafu tu.
 
Mkuu iyo ni kawaida sana...mimi nina mwaka na... Hakuna kitu wake wanapenda kama sifa. Mume akishiba anajisikia vizuri sana,usiposhiba anahisi umekula sehemu au hujapenda chakula chake. Pia mume akiwa na afya mke anasifiwa anajua kulisha na kutunza anaepuka maneno toka kwa mawifi au mama mkwe.

Tena mpende sana mkeo mana anakujali,kuna wake wengine akitenga chakula yuko chumbani anachat,kula usile utajua mwenyewe.
Itoshe tu kusema ANAKUJALI.
Umenena vyema kabisa mkuu

Kingsmann
 
Kwani lazima utengewe chakula, si unaweza kujipimia kwa kuchota mwenyewe?
 
Ndoa zina mengi.

Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.

Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.

Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.

Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Wekeni utaratobu wa self service, chakula kinawekwa mezani kila mtu anajisevia kiasi anachoweza kumaliza

Hayo mambo ya kupakuliana chakula na kulazimishana kumaliza ni utumwa
 
Hivi maisha haya bado watu wanatengewa vyakula specific kwenye sahani?

Nachojua sasa hivi mostly ni self service tabling,sio kama zamani watu mnawekewa kwenye vibakuli

Nachojua asilimia kubwa ya Watanzania chakula kinakua served kwenye pots wewe unajipimia unavyoona...

Nachoona hapa aidha bwana Grand Canyon anadanganya vibaya mno!

Punguzaga maungo sometimes!
Kwa hiyo mkuu kumbe tuliowengi sasa tunapata chakula cha kutosha mpaka tunajipimia?

Ndomana mkampatena mitano
 
Mimi ni fukara mkuu,kesho yangu huwa inasimamiwa na Mungu.Naishi kama ndege wa angani!
Lakini nyumbani kwako meza kuuubwa inazungushiwa sahani hotpot kila mtu anajipimia hongela sana kiongozi
 
Mkuu uyo mke wako ana nia nzuri na wewe wala usilalamike au shoo yako 6*6 mbovu inawezekana anataka ushibe alfu umpelekee moto wa hatari kunako
 
Ndoa zina mengi.

Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.

Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.

Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.

Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Mmh!!! una bahati, mie mke wangu, ni mchoyo kiasi ambacho sijapata kuona, hawezi kukuwekea chakula cha kutosha hata siku moja, ata iwe chai atakuwekea robo tatu ya kikombe, akinijazia kikombe atakuomba badaye upunguzie mtoto, siku moja maid alipakua chakula cha kutosha, ila aliumia kimwoyomwoyo, badaye alikijosogeza eti tule wote wakati kila siku nakula peke yangu, yule mama wakisiginda ni balaa anakila aina ya tabia duh sijui kama ntakuja kumpona. Sema tu nina watoto nae ila ningemkibia tu.
 
Mmh!!! una bahati, mie mke wangu, ni mchoyo kiasi ambacho sijapata kukiona, hawezi kukuwekea chakula cha kutosha hata siku moja, ata iwe chai atakuwekea robo tatu ya kikombe, akinijazia kikombe atakuomba badaye upunguzie mtoto, siku moja maid alipakua chakula cha kutosha, ila aliumia kimwoyomwoyo, badaye alikijosogeza eti tule wote wakati kila siku nakula peke yangu, yule mama wakisiginda ni balaa anakila aina ya tabia duh sijui kama ntakuja kumpona. Sema tu nina watoto nae ila ningemkibia tu.
Pole. Ndoa zina mambo ni kuvumiliana
 
Ndoa zina mengi.

Mimi nimeoa huu mwaka wa 5 na tuna mtoto mmoja. Tatizo: Mke wangu akinitengea chakula anataka nimalize chote hata nikishiba. Nikibakisha tu nyumbani hapakaliki, ataanza kulia usiku kucha na maneno mara kwahiyo mimi sijui kupika, mara mbona mgahawani huwa hubakishi na maneno mengi.

Tatizo mimi si mlaji sana, na nilisha mweleza awe ananitengea kidogo ili nikimaliza aniongezee lakini wapi, huwa anajaza sahani yangu mpaka nasema hiii bagosha huu mlima kilimanjaro nitauweza kweli? Siku zingine najikaza namaliza kwa mbinde ili kuzuia vita lakini sometimes nashindwa.

Sijajua tatizo ni nini, nikibakisha tu naye anazira kula, anaondoka dining namkuta chumbani analia.

Wakuu hili tatizo umewahi kukumbana nalo? ulisovuje?
Nadhani NI makuzi na malezi aliyolelewa. Angalia pia na jamii anayotoka mkeo. Jenga tu tabia ya kupakuwa sahani moja na mnakula pamoja hii itasaidia kuondoa tatizo. Inaonekana pia unapenda kula vibandani.

Kama una tabia hiyo nako iache. Hakuna kitu kizuri Kama kukaa na kula chakula alichopika mkeo onyesha kukifurahia na Kama Kuna kasoro usiiseme hapo dinning ongea naye mkiwa wawili chumbani.
 
Back
Top Bottom