Wanandoa changieni hii


thenx Allah bless U
 
Wengi wanaingia kwenye ndoa kwa kufuata mkumbo, masilahi, na mifano mingine inayofanana na hiyo, na inapotokea hali ya kimaisha kubadilika labda uchumi kuyumba niseme hapo ni moja ya chanzo kikubwa kinachochangia ndoa zetu za siku hizi kutokudumu.

Tukirudi kwa wazee wa zamani hata kwa kuhadithiwa nafikiri utakuwa umewahi sikia, kawaida wawili wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawana kitu(uwezo wa pesa/mali) lakini wanavumiliana kwa muda mwingi hadi inafikia kuwa na mabadiliko ya kimaisha(wanainuka kimaisha) na kuzidi kufurahia ndoa zao hadi pale kifo kinapowatenganisha.

Kwa hali tuliyonayo sasa wengi wao wana tamaa sidhani kama kuna tutakachoweza kufanya ili kuziokoa ndoa zao
 
Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa?

Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa

Sababu kubwa ni kukuta uliyekua unamfahamu kabla ya ndoa unakuta si yeye,wanaume na wanawake hawataki kua wao katika mahusiano wanapenda kuigza vitu ambavyo si vyao, Kingine kuingia kwenye ndoa wakati akili na mwili bado havipo tayari kwa hilo jambo. Mwisho kuoa kwa shinikizo direct au indirect,direct labda mimba au kulazimishwa na wazazi na n.k ,In-direct ni kuoa au kuolewa na mtu kwa kufata pesa/mali zake,this wont last long.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…