Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,266
- 44,691
Si vizuri kwenda kwa kuamini tu; ni vizuri kuwa na japo ushahidi wa awali. Maana isije kuwa hakuna mtu aliyekataliwa kupigwa kura kama alienda kupiga kura. Sijali sana wale ambao hawakwenda kabisa kupiga kura; I'm more concerned na wale ambao walienda kupiga kura lakini hawakupiga kura. This number interests me much.
Ni kweli kabisa kuna watu walikataliw kupiga kura ila kwa takwimu sidhani sisi kama CHADEMA tunazo kwakuwa kwa bahati mbaya hatukuweka rekodi.Wale tuliokuwa tunazunguka kwenye vituo vya kupitia kura na kukuta changamoto hii tulichokuwa tunafanya ni kutoa tu taarifa kw waratibu wa Kampeni nawao sina hakika kama watakuwa na takwimu.We were not smart kukumbuka kuweka takwimu..
mkifika mahakamani hili ndio litakuwa swali la kwanza jaji kukuuliza kuhusu idadi ya watu ambao walizuiwa kupiga kura na pili je mnayo mikanda yaNi kweli kabisa kuna watu walikataliw kupiga kura ila kwa takwimu sidhani sisi kama CHADEMA tunazo kwakuwa kwa bahati mbaya hatukuweka rekodi.Wale tuliokuwa tunazunguka kwenye vituo vya kupitia kura na kukuta changamoto hii tulichokuwa tunafanya ni kutoa tu taarifa kw waratibu wa Kampeni nawao sina hakika kama watakuwa na takwimu.We were not smart kukumbuka kuweka takwimu..
Lengo langu ni kujaribu kupata picha tu ya extent ya tatizo lilikuwa kubwa kiasi gani kama kuweza kuathiri matokeo. Kwa mfano katika mizunguko yako siku ile tatizo la watu kukatawaliwa kupiga kura lilikuwa kubwa kiasi gani? Unaweza ukanipa kisio la chini tu kwa mfano kwenye kituo kimoja kulikuwa na watu kama wangapi ambao hawakuweza kupiga kura au kuja kulalamika kuwa wamekataliwa kupiga kura? Au niulize kinyume chaka ni mara ngapi ulilazimika kutoa taarifa kwa wahusika kuhusu watu kukataliwa kupiga kura?
To be honest,I can't tell,sina takwimu!
Thank you Regia for being honestTo be honest,I can't tell,sina takwimu!
mkuu uko sawa kweli hapo?kamanda mtema mnatutisha kidogo jamani chama makini hakitakiwi kutoa majawabu kama haya yasiyojitisheleza. wewe ni mbunge tunategemea
kuwa huko jikoni sasa inakuwaje makamanda wengine wanakwenda na info. frontline bila kuwa brief nyie wenyewe kwa wenyewe kwanza ili nyie
wote muwe na coherent message. basi tunategemea utawasiliana na wahusika ili tupate majawabu ya uhakika.
Kuna madai ambayo tulianza kuyasikia siku ya J'pili wakati waupigaji kura kuwa watu walikuwa wanakataliwa kupiga kura kwa sababu mbalimbali. Na baadaye madai haya yametolewa na pande zote mbili hasimu (Katibu Mkuu Mukama kwa upande wa CCM, na Mwenyekiti Mbowe kwa upande wa CDM).
Natumaini wote hawa wana ushahidi wa madai haya; binafsi ningependa kujua tu je vyama hivi vilifanya utaratibu wa kufuatilia na kujua wale waliokataliwa kupiga kura ni kina nani na sababu za kukataliwa ni zipi na kwa kufanya hivyo kuweza kujua kwa kiasi fulani idadi ya watu waliokataliwa kupiga kura kwenye jimbo hilo.
Kuna mtu ana namba isije kuwa ni idadi ambayo ni negligible - isingeweza kubadilisha matokeo. Kwa mfano (kama ni watu 100 kwenye jimbo zima hata kama wote wangeruhusiwa kupiga kura na wote wangeipigia CDM bado matokeo yasingebadilika).
Sidhani kama kwenda baada ya uchaguzi kuuliza watu kama walikataliwa yaweza kuwa njia sahihi ya kujua kilichotokea siku ya uchaguzi. Ni matumaini yangu CDM walifanya utaratibu wa kuorodhesha watu waliokataliwa kupiga kura kwenye vituo mbalimbali siku ya Jumapili mbili ya Oktoba.
Ni kweli kabisa kuna watu walikataliw kupiga kura ila kwa takwimu sidhani sisi kama CHADEMA tunazo kwakuwa kwa bahati mbaya hatukuweka rekodi.Wale tuliokuwa tunazunguka kwenye vituo vya kupitia kura na kukuta changamoto hii tulichokuwa tunafanya ni kutoa tu taarifa kw waratibu wa Kampeni nawao sina hakika kama watakuwa na takwimu.We were not smart kukumbuka kuweka takwimu..
Safi sana dada angu, wachache sana wanakiri makosa pale wanapokosea.Ni kweli kabisa kuna watu walikataliw kupiga kura ila kwa takwimu sidhani sisi kama CHADEMA tunazo kwakuwa kwa bahati mbaya hatukuweka rekodi.Wale tuliokuwa tunazunguka kwenye vituo vya kupitia kura na kukuta changamoto hii tulichokuwa tunafanya ni kutoa tu taarifa kw waratibu wa Kampeni nawao sina hakika kama watakuwa na takwimu.We were not smart kukumbuka kuweka takwimu..
Maji taka kuanzia ngazi ya wilaya mpaka ngazi ya taifa.Nyie mlikuwa "smart" kutazama Rostam hajafanya nini! maana hiyo ndio report uliyotuletea hapa JF kutoka huko.
Amekiri makosa ya kibinadamu kuhusu takwimu sioni umuhimu wa kumkomalia namna hii. Huyu dada kaonyesha political maturity.kamanda mtema mnatutisha kidogo jamani chama makini hakitakiwi kutoa majawabu kama haya yasiyojitisheleza. wewe ni mbunge tunategemea
kuwa huko jikoni sasa inakuwaje makamanda wengine wanakwenda na info. frontline bila kuwa brief nyie wenyewe kwa wenyewe kwanza ili nyie
wote muwe na coherent message. basi tunategemea utawasiliana na wahusika ili tupate majawabu ya uhakika.