Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa
Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi hapangiwi au kulazimishwa kuchagua Chama cha Siasa na wala sio kosa Kisheria au Kikatiba kuchagua chama chochote cha Siasa
Wanacholalamikia Wananchi ni dharau kubwa walio onesha Wasanii wa Muziki Diamond Platinumz, Jux, Marioo na Ommy Dimpoz
Kauli ya kufanya kazi iliyopelekea kutafsiriwa kama dharau kubwa kwa Wananchi wasiokuwa na kipato cha fedha
Binafsi sioni kama ni kauli nzuri kwa Wananchi kwasababu sio kila Mwananchi aliyebahatika kupata fedha sawa na wanazopata Wasanii na hasa ukizingatia fedha hizo zinatokana na ushirikiano wa shabiki wa muziki
Swala la kuwashutumu Wananchi kuwa wanawachukia Wasanii kwasababu ya kujihusisha na siasa ni uonevu mkubwa kwasababu hata Wananchi hao wanaolalamika wamo ndani ya vyama hivyo vya siasa