Wananchi wamemchoka JK?

Bora huko kwenu wamemchoka!huku kwetu kila unaemuuliza kuhusu urais wa JK anakwambia hajui kama nchi hii ina rais.
 
Kila mara nimekuwa naamini kuwa mwaka 2010 wananchi walisema inatosha, ila tume ikalazimisha kuwa ngojeni kwanza.
 
Sie pande za huku bado tunahitaji uongozi wake. Ni kiongozi bora aliyetoa uhuru mkubwa wa raia wake kusema watakacho. Kiongozi yupi aliyewahi kutoa uhuru wa namna hii.?

Mkuu mbona huo uhuru unaousema upo kwenye katiba ? Sio yeye aliyetoa huo uhuru unaousema ni katiba inaruhusu tena hii ya mkoloni tinayotaka kuibadilisha.
 

Kunya kwanza kabla hujaaka kwenye keybboard! Hii itasaidia sana kuandika pumba kama mtu uliyeshikwa na haja kubwa
 
Hv na kikwete wa kujadiliwa jf? Magamba wenyewe tu hawampendi, wafanyakaz hawamtak(madokta,walim,
wazee,wanavyuo,wazaz wengi,wakulima,wafugaji,uwt n.k) jamaa hapendwi na wengi hum mtaniponda ila fanya research maeneo yenye mchanganyiko wa watu,kwa watu 10 wangapi watamkubal,then majibu baki nayo, wakitaka cdm tuchukue nchi bila kampen wamweke kikwete, hapa dodoma tu makao makuu ya ccm watu wamebadilika, abishaye aje aone,imebak umasain na soon tutawakomboa kifikra.
 
Tutamkumbuka JK sana,kwa ujenzi wataifa na uhuru wa kila kitu TZ.kwa mfano urefu wa barabara alizojenga katita awamu yake hajafikiwa na awamu zote zilizopipa ukizichanganya,Pia Secondari zilizojengwa katika awamu yake,awamu zote zilizopita ukichanya hazimfikii,vyuo vikuu wahitimu imepindukia changanya awamu zote hafikiwi,pia kwenye afya ndio hivyo hivyo,Baadhi ya wabongo wanachuki binafsi,sana sana media,hata HITLER alifagiliwa sana na media miishio yake tuliona.Tuone akishinda Membe,Slaa au Lowasa najua itakuwa shwari kabisa!!!nafikiri mfumo KRISTO.
 

Sidhani kama suala hapa ni Kikwete bali ni chama chake. Nikuulize wewe M.M Nkunya, toka utawaliwe na CCM pamoja na maneno yao matamu wanayotudanganya kila wakati wa uchaguzi, umepata faida gani? Badala ya kuendelea wao wanaturudisha nyuma.
 
Last edited by a moderator:
Nyerere aliwahi kusema hapatatokea raisi mwingine tz atawale kwa muda mrefu kama yeye, labda awe dictator
 

Mbona alikwenda kuwapigia magoti Lipumba na Sheikh Ilunga wamuokoe kurudi Magogoni kwa njia ya undugu wa Kiislam kama kweli anakubalika kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…