Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,112
Last edited by a moderator:
mmmh... hako ka' Joyce Stivini kanaonekana kachongaji sana lakini kako poa hako!!
Yaani wewe Frenki Sawasawa hujamwona bali umemwona Joisi Stivini tu?
Ila babu kamekaa freshi...halafu kanaonyesha cleavage kwa mbali....
Yeah, Mazee hakika hivi vigoli vya uswazi hivi sometimes huwa vinalipa kwa sana tu!!
Havina gharama kabisa...sio kama kina Gaijin & Co. :becky::becky::becky:
bana weee... sistas kama kina Gaijin mtu sijui mpaka uwe mod ndiyo wakutupie jicho lenye shauku, wapi na wapi bana!! :smile-big:
Swadakta sista!!It is just a balance of nature jamani,
wengine gharama ya juu wengine gharama ya chini........
Kila ndege huruka kwa ubawa wake.....
ooya... hebu tuliza viugoko vyako huko...!!! nitakukata makonde ukiendeleza hizi tibuzi zako...oooh oh, bastola ishafyatuka kueleza risasi juu hivyo!! unafikiri kuwa mshikaji ndo nitakustahi kukatiza kwenye anga zangu bila kibali... waaaapi!!:mad2:GAIJIN weye ni mrembo kushinda CHEUSIMANGALA?
le'me taste the dishes.
only PM will do
ooya... hebu tuliza viugoko vyako huko...!!! nitakukata makonde ukiendeleza hizi tibuzi zako...oooh oh, bastola ishafyatuka kueleza risasi juu hivyo!! unafikiri kuwa mshikaji ndo nitakustahi kukatiza kwenye anga zangu bila kibali... waaaapi!!:mad2:
duh ule mlio wa puto niliousikia nje ndo bastola yako imetriggered. Usimaindi shekhe hivi vitu havina hakimiliki hahaha.ooya... hebu tuliza viugoko vyako huko...!!! nitakukata makonde ukiendeleza hizi tibuzi zako...oooh oh, bastola ishafyatuka kueleza risasi juu hivyo!! unafikiri kuwa mshikaji ndo nitakustahi kukatiza kwenye anga zangu bila kibali... waaaapi!!:mad2:
waw! jamaa anaenjoy kuuza sura na sista du wakati sisi wengine tuna tenda nao hao madada duhu.Kheeee!!! Ina maana ushaanza kujipigia krosi huyo 'check sista' nini? Shauri lako.....siku utakapopigwa mzinga wa dolari alfu tatu za kununulia pochi ya Hermes usije kunikopa :becky:
waw! jamaa anaenjoy kuuza sura na sista du wakati sisi wengine tuna tenda nao hao madada duhu.
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Kheeee!!! Ina maana ushaanza kujipigia krosi huyo 'check sista' nini? Shauri lako.....siku utakapopigwa mzinga wa dolari alfu tatu za kununulia pochi ya Hermes usije kunikopa :becky:
waw! jamaa anaenjoy kuuza sura na sista du wakati sisi wengine tuna tenda nao hao madada duhu.
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Wee mwache aende kichwakichwa....
what can I say... there's an endearing delicacy about her, so I think!! :smile-big:
ooya... hebu tuliza viugoko vyako huko...!!! nitakukata makonde ukiendeleza hizi tibuzi zako...oooh oh, bastola ishafyatuka kueleza risasi juu hivyo!! unafikiri kuwa mshikaji ndo nitakustahi kukatiza kwenye anga zangu bila kibali... waaaapi!!:mad2:
Steeeeeeeeeeve kumbuka hiki ni kipindi cha kampeni, ukipigwa mzinga wa dolari tusitafutane. Naamini Gaijin ashaona here comes another victim.... lolwhat can I say... there's an endearing delicacy about her, so I think!! :smile-big: