Wananchi wafunga barabara ya Sam Nujoma

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
DAR: Wananchi waifunga barabara ya Sam Nujoma (Mwenge, Mpakani) kwa matairi na viti; ni baada ya mtu kugongwa
#JFLeo
 
219f662c54530394b8423dc996437e9f.jpg
 
Kwani Akiwa masai?!,
Unacheka nini Kuna la kuchekea hapa?!
Hakuna tofauti mkuu ningeandika "kisa mtu kagongwa" ishu ni kuwa tutafunga barabara namna hii mpaka lini na kupasua vioo vya watu wakati ikiwa ajali namna hii zinatokea kila siku.....
 
Mtu kalewa kavuka bila uangalifu mnafunga barabara?
Mpakani hakuna zebra na kama ipo jmefutika
Ingekua huyo aliegongwa alisimama pembeni naweza kuwaelewa lakini kama kagongwa katikati ya barabara basi hawana tofauti na Kitwanga
 
Hao nao huwa wanakosa kazi ya kufanya
Hapo kuna zebra crossing ila aliegongwa kama kagongwa nje ya zebra

Walifunga sana barabara ya tegeta ila matuta hayakuwekwa
 
Back
Top Bottom