Wananchi wa Tanzanaia wanaweza kuikataa Serikali ya wauaji?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kutokana na matukio mengi ya mauaji ya raia wasio na hatia, je wananchi wana weza kuikataa serikali ya wauaji? Kwa kuwa wawakilishi wao Bungeni wanatetea maslahi yao badala ya kuwatetea wapiga kura wao je wananchi wana namna ya kuikataa serikali isiyowahakikishia usalama? Wanasheria na wanaharakati karibuni tuijadili mada hii.
 
hasa kwa kufanya uchambuzi yakinifu nani chanzo cha kuvunja katiba na nani anaagiza nini!
 
Tuhamasishane kwa hilo kabla wauaji hawa hawajatumaliza jamani, kwani tunawaogopea nini wakati wao ni wauaji wamepoteza sifa ya kiuongozi na kuitii katiba.
Kibaya ni kuwa hao viongozi hawajui ni kwanini mauaji yanatokea!.
 
Hakuna asiyeitaka serikali . Subiri uchaguzi . Na kama umeichoka nchi hulazimishwi unaweza kuhamia Rwanda au Congo. Usituletee Uchaga na Uchadema wako
 
Mawazo ya watu wanafikiri kwa kutumia masaburi utayajua tuu. Njaa itakua wewe unashabikia wauaji kwa ajili ya buku kumi ya Nape pale Lumumba.
Hakuna asiyeitaka serikali . Subiri uchaguzi . Na kama umeichoka nchi hulazimishwi unaweza kuhamia Rwanda au Congo. Usituletee Uchaga na Uchadema wako
 
Back
Top Bottom