South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,137
Wananchi wa eneo la Mji wa Nakonde wameamua kutoka majumbani na kutoka nje kupinga zuio la kukaa ndani kutokana na ugonjwa wa Corona muda huu askari wanajaribu kuwazuia na kuwadhibiti.
Afisa Habari wa Wilaya ya Mbozi amehabarisha kwamba Wananchi wa mpakani hapo wameandamana na hawataki lockdown tena. Amezidi kuhabarisha kwamba ilitokea fujo kidogo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi wa Nakonde
Sent using Jamii Forums mobile app