Wananchi wa Iramba Magharibi Wamuomba Dk. Kitila Mkumbo akagombee Ubunge kule kwa Nchemba.

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Kutokana na msimamo usioteteleka alionao Dk. Kitila mkumbo katika kuwatetea wananchi......pasipo kuogopa kunyimwa mkataba kama ilivyo kwa Baregu na Rwaitama............ameombwa na wananchi agombee jimbo la Iramba magharibi ili ashirikiane na Tundu Lissu kwa Ukaribu ili kuahkikisha Iramba yote inaendelea.

Ikumbukwe kuwa kwa sasa Mbunge wa Iramba Magharibi ni Mwigulu Nchemba ( Mchumi 1[SUP]st[/SUP] Class!!)
 
Sasa`tena naomba wadau mnilez ; Hivi yule Kibajaji a.k.a Lusinde anawania nini kwenye NEC ya ccm? sijaliona jina lake
 
Tumuunge mkono Dr K Mkumbo akawakomboe wananchi wa Singida Magharibi kwa kuwasemea kwenye vikao vya halmashauri na bungeni.lakini pia ni moja ya hatua nzuri ya kuinganisha nchi kwa umoja wetu tukiwa tunaichukua nchi kwenye uchaguzi ujao 2015
 
nahisi wananchi wamemchoka MWIGULU, sababu kila siku anashinda igunga na dar hivyo anakosa muda wa kuhudumia wananchi.
 
Jamaa ana uwezo mkubwa sana yule!ni msomi asieteteleka,tatizo na sisi huku kinondoni tunamuhitaji sana.
Japo na wanailamba wanamuhitaji pia!
nadhani atatumia busara zaidi kujua wapi patamfaa zaidi japo nasikia tayari ameshaanza kuwekeza nguvu kubwa iramba.
Jamaa huwa anafanya ziara za mala kwa mala kule.
 
Jamaa ana uwezo mkubwa sana yule!ni msomi asieteteleka,tatizo na sisi huku kinondoni tunamuhitaji sana.
Japo na wanailamba wanamuhitaji pia!
nadhani atatumia busara zaidi kujua wapi patamfaa zaidi japo nasikia tayari ameshaanza kuwekeza nguvu kubwa iramba.
Jamaa huwa anafanya ziara za mala kwa mala kule.

Aisee sasa kinondoni..........mmeshamtamkia kuwa mnamhitaji au anelewa tayari. Huyo mbungr aliyeko sasa ataua mtu. Mh. AZan
 
Tatizo Dakitari Mkumbo hana nia ya kugombea, labda tukusanye sahihi za kumshinikiza.

I myself dont advice him kwenda huko maana anaweza katika nafasi yake akawasaidia wananchi wa Iramba kwa urahisi zaidi kuliko kwenye kiti cha ubunge ambacho anapaswa kukifanya ni kumsaidia kijana mmoja kuchukua hilo jimbo then wanapiga kote kote from academics na politics kuuondoa umasikini wa wana nchi wa Iramba.
 
Back
Top Bottom