Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

chadema inawatoa jasho muulize baba yako Nape akuambie, hahahaha
 
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika

WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI

naona tayari elfu 7 imeshaingia kwa Mpesa! Kaz mnayo na njaa zenu hzi.
 
labda wangeenda makanisani kuubili,. . . wananchi wa dodoma wanajielewa sana. . . .
Padri Slaa jana alikuwa anatokwa povu kwa mshangao mkubwa wa uchache wa watu, Watanzania tumeshawajua, MAGAIDI nyinyi, Tanzania nchi ya Amani tudumishe Amani yetu, Tusidanganyike na hiki kikundi kidogo cha Hatarisha Amani. . . .

Poor CHADEMA.

Amani ipi? Ya kuibiwa wanyama yetu na kuwa kimya? Ya kukumbatia mafisadi wanaohujumu uchumi? Ama rushwa iliyokithiri sasa mpaka sasa magorofa yanauwa watu huku serikali dhalimu ikiwa kimya? Nadhani amani unayosema ni ujinga na kutojua wajibu wetu sisi waTz
 
yaan cdm hovyo kweli. wao wanajidanganya kuwa wanakubalika kumbe hamna kitu. wakumbuke hata kinyesi kinajisifu kuwa kinapendwa na nzi wengi kumbe kwa binadamu ni kinyaa

unatoaga pumba kwa kusuasua vp posho yako wanakupa ndogo sana pale lumumba
 
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika

WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI

katika watu wajinga wewe ndo mama yao! serikali inataka ushauri kutoka kwa chama pinzani hata kwa wao kwa wao wanataka ushauri kweli. Acha kukurupuka na kupotosha wewe kama una mahaba binafsi na serikali ni peke yako. Sijui waishi nchi gani amabye usiyeona madhira yanaofanywa na viongozi wako
 
Je aliyatakiwa kulalamika kukosa wasikilizaji na CDM au nani? mwanzisha mada hii anasikitika au anashangilia?
 
Mkuu jenga hoja hayo makosa ni ya kawaida.

mkuu hao vijana wenu wapeni mafunzo kidogo make kuandika hawajui hoja hawana hizi posho mnazowapa mnapoteza tu hela, mijitu haijitambui kabisa
 
Huko Dodoma kuna aina gani ya pombe inayopatikana muda wa mchana na ya bei ndogo???
 
bungeni unasema makamanda hawajengi hoja, ktk uzi huu hebu wasaidie kujenga hoja
 
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika

WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI

WAKUU MAKAMANDA! jana nilikwepo kwenye huo mkutano mleta mada sijui katoka wapi, nielewen, ikumbukwe siku moja kabla ya mkutano polis walizunguka mji wote wakitangaza zuio la mkutano wakitoa sababu nyingi,kwa juhudi za uongoz wa CHADEMA WALIRUHUSIWA ila uwanja ukabadilishwa.pamoja na hilo matangazo yakaanza siku ya mkutano, na watu walijaa sana tofauti na mleta mada,na waliokuja karibu kila mmoja aliridhika kwa hotuba za viongoz.sim-bishii mleta mada kwan huenda amekutana na tone katika bahari,kwa kudhihirisha unafik wake aangalie upepo wa chadema dodoma kwa mwezi huu na ujao,naomba mweke kumbukumbu.pili watarajie mabadiliko makubwa 2015.tusiwe wanafik kupost uongo.:nono:
 
labda wangeenda makanisani kuubili,. . . wananchi wa dodoma wanajielewa sana. . . .
Padri Slaa jana alikuwa anatokwa povu kwa mshangao mkubwa wa uchache wa watu, Watanzania tumeshawajua, MAGAIDI nyinyi, Tanzania nchi ya Amani tudumishe Amani yetu, Tusidanganyike na hiki kikundi kidogo cha Hatarisha Amani. . . .

Poor CHADEMA.

Unaweza kuitetea hilo andiko hapo kwenye RED? hivi hapa Tanzania ni wanachi wa Mkoa gani wanaongoza kwa OMBAOMBA(UMATONYA) jibu ukilipata utajua kwa nini wapo hivyo na waliisha wahi kupata waziri mkuu ambaye hakuweza kuwaondoa katika hali hiyo
 
wacha propaganda jana nilikua Dodoma watu walikua wengi mno, na hata hivyo chadema wakutarajia wananchi wote wa dodoma kuhudhuria mkutano ule. Hao waliokuja ndiyo agents wa mabadiliko.
Kama ulifuatilia mapinduzi ya umma yaliyofanyika Misri yalifanywa na watu takriban million 1 na ushee waliokusanyika Tahrir Square, kati ya zaidi ya watu million 60 ya wamisri.
Hao unaodhani wachache kuhudhuria mkutano wa cdm ndy chanzo cha mabadiliko, hatutarajii raia wote katika taifa kujitambua wengine huwa mabadiliko unawakumba tu.
 
Mkutano wa kanda inayojumuisha Dodoma, Singida, Shinyanga nk watu kiduchu. Chadema mnavuma mlichopanda vurugu na udini hayo ndio malipo yake wananchi wanawatumia ujumbe hawataki kugawanywa kwa udini
 
mtake msitake,mlale msilale,chadema ni tumaini jipya na ukombozi wa nchii ni lazima kumuondoa mkoloni mweusi ccm,nashangaa sana kuona vijana wasomi tena wamesoma vyuo vikuu wamesoma kwa kodi zetu wavuja jasho,leo hii wanakaa wanaongea ujinga ndani ya taifa ili maana ya kuwa msomi ni nini?wanaiga sera za nape,nape ni mshamba kwanza ,kipindi kile nape amefukuzwa uvccm alikuwa hana mbele wala nyuma mpaka mr fastjet alipompa ukuu wa wilaya kule morogoro kipindi hicho alikuwa mwembamba sana lakini hivi sasa tangu apate ukatibu wenezi taifa ccm ss hivi tupo kubwa kama kabeba mmbwa tumboni hana jipya zaidi ya kubeba maslai ya chama ccm,hipo siku nchi itageuka.

Hali mbaya kwa Chadema,acha ushabiki maandazi wananchi tunasubili uongozi ujivue gamba la ugaidi kwanza labda tutatawafikilia sio Dodoma tu,mtakataliwa kila sehemu.
 
wewe ni mdini, utakuwa mtu wa zenji,lindi au mtwara. you look illiterate
 
Acha upimbi wako nani alikuambia chama cha upinzani kazi yake ni kuishauri serikali?

Hili lileta uzi linashonwa kwa nyuma,linaibuka tu huko bila kuoga nyonyonyo,nyonyonyo,nyonyonyo,pambaf kabosa hili ningekua karibu nalo ningelitia ngumi makalioni.,SERIKALI YA KIMAGAMBA IMEGOMA SIKU NYINGI KUPOKEA USHAURI WA WATAALAM KATIKA NYANJA MBALIMBALI,SEUSE WA CHADEMA INAYOWANYIMA USINGIZI NA KUWAFANYA WAKIMBILIE KWA WAGANGA KULOGA WANANCHI???Nyoo hatulogeki katu na wala hatudanganyiki tena.Dom amkeni tupambane tujitoe katika nyumba za tembe.
 
Back
Top Bottom