sio proganda, pinga kwa ushahidi ila usitoe sumu
wewe ndio unaetakiwa kutuletea ushahidi!sio proganda, pinga kwa ushahidi ila usitoe sumu
Hilo tukio la jana lilikuwa linakataza camera kunasa watu??Kama umeamua kuifanya kazi hii kwanini usiturushie hata kajipicha ili tusadiki maneno yako??? Kwa zama hizi tulizopo na dhurma zinazofanyika, ni watu wachache sana wenye uelewa wao timamu wanaweza wakapinga mabadiliko ya kimfumo nchini mwetu.Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika
WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI
Hahaaha propaganda za kizamani hizi.Hivi vijana wasomi huko CCM wamekosa ubunifu kabisa?
poor you..labda wangeenda makanisani kuubili,. . . wananchi wa dodoma wanajielewa sana. . . .
Padri Slaa jana alikuwa anatokwa povu kwa mshangao mkubwa wa uchache wa watu, Watanzania tumeshawajua, MAGAIDI nyinyi, Tanzania nchi ya Amani tudumishe Amani yetu, Tusidanganyike na hiki kikundi kidogo cha Hatarisha Amani. . . .
Poor CHADEMA.
mbona nyomi ilikuwepo ya kutosha au ndo hata kuona hamtaki, nitarusha picha muda sio mrefu
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika
WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI
Hahaaha propaganda za kizamani hizi.Hivi vijana wasomi huko CCM wamekosa ubunifu kabisa?
Huyu kijana naona anajifunza kusoma, kuandika na kuhesabu. Aidha, inaonekana atakuja kuwa muhumini mzuri sana wa siasa na majungu na ghirba. Mana kama hajajua kusoma na kuandika vizuri tayari ameshaanza majungu, akijua vzr kusoma na kuandika si atakuwa hatari huyu??Pole sana rudi Ngumbaru,waliokutuma wakiona haya ulioandika posho hakuna mkuu.
mimi nilikuwepo,acha kupotosha umma matu waliokuwepo walikuwa wanaridhisha
Wananchi wa dodoma wapo makini sana, wameonyesha wazi kuwa hawadanganyiki