Wananchi wa Arusha wang'aka!

Sio kosa lake ana pepo mwagize aende kisongo kwa ngurumo ya upako au kwa babu akapate kikombe hiyo kodi imeidhinishwa kikao gani na kwa manufaa ya nani
 
Watu Wamagamba wanakuwa na plan Nyingi za Kuwatoza watu Kodi ila hawana Ubavu wa kuhakikisha Hizo Kodi zinalipika!! Kwani kama wangeboresha maeneo ya parking ya Hizo pikipiki ni Haki ya wao kulipa Kodi!! Kwani kila maendeleo yanategemea Kodi yako!! Sasa kwenye hii nchi Imekuwa na Tabaka dogo la walipakodi na Huu ni uonevu Mkubwa!! Just wanategemea Kodi ya Mishahara ya wafanyakazi!! Wafanyabiashara wanapeta!!!
 
kwani kuna "parking arena" mahususi iliyojengwa hata watu walipie?
 
kama hana maujanja si akae kimya
ngoja wamshughulikie ndo atajifunza
 
akadai kodi kwenye migodi mererani,huko ndipo wanapoingiza fedha za maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…