Nimeipenda hii ongezea na ct scanner ya kuangalia risasi ilipo imehujumiwa na madokta sasa subirini tuwaonyeshe udhaifu kwa vitendoWananchi wenzetu wa Arusha, Tuanaomba mfahamu kuwa serikali kuu imeondoa kodi ya mapato, kupisha serikali za mitaa kupata vyanzo vya mapato. Ushuru unao tozwa na serikali za mitaa (Manispaa, miji na wilaya) ni ushuru halali na wa kisheria. tunawaombeni mtii sheria bila shuruti, kwani kila muwaonapo polisi wamebeba bunduki, hawalengi kupiga ndege, bali wale wasio penda kutii sheria bila shuruti. Kule kituoni, kuna bunduki nyingi,ambazo nyingine hazijawahi hata kutema risasi hata moja. na idadi ya risasi zilizopo kituoni ni zaidi ya chroloquine zilizopo Mount Meru. Tunawapenda, Tunawahitaji, na hivyo, tunawaomba mtii sheria bila shuruti. Hatutawaunga mkono kwa kutotii sheria.
"MUNGU AWAHURUMIE SANA, MTII SERIKALI ILIYOKO MADARAKANI, KWA KUWA IMEWEKWA NA MUNGU"
Hakuna kitu kama hicho mwalimu akimchapa mwanafunzi anamsaidia kujifunza ccm kanyaga twende arushaCCM inazidi kujichimbia kaburi Arusha
changanya na akili yako mwenyewe. Tupo tayari kuhamishia jeshi zima hapo arusha ili tanzania iendeleze ile sifa yake ya kuitwa kisiwa cha amani.wananchi wenzetu wa arusha, tuanaomba mfahamu kuwa serikali kuu imeondoa kodi ya mapato, kupisha serikali za mitaa kupata vyanzo vya mapato. Ushuru unao tozwa na serikali za mitaa (manispaa, miji na wilaya) ni ushuru halali na wa kisheria. Tunawaombeni mtii sheria bila shuruti, kwani kila muwaonapo polisi wamebeba bunduki, hawalengi kupiga ndege, bali wale wasio penda kutii sheria bila shuruti. Kule kituoni, kuna bunduki nyingi,ambazo nyingine hazijawahi hata kutema risasi hata moja. Na idadi ya risasi zilizopo kituoni ni zaidi ya chroloquine zilizopo mount meru. Tunawapenda, tunawahitaji, na hivyo, tunawaomba mtii sheria bila shuruti. Hatutawaunga mkono kwa kutotii sheria.
"mungu awahurumie sana, mtii serikali iliyoko madarakani, kwa kuwa imewekwa na mungu"
changanya na akili yako mwenyewe. Tupo tayari kuhamishia jeshi zima hapo arusha ili tanzania iendeleze ile sifa yake ya kuitwa kisiwa cha amani.
kwahiyo mnataka wasilipe kodi sio na huku wanafanya biashara ? kweli mnatumia ************* kufikiri Wewe ndie usiyefikiri kwa kudandia lori kwa nyuma. Walipe kodi wakati serikali kuu imefuta ushuru wa bajaji?
kwahiyo mnataka wasilipe kodi sio na huku wanafanya biashara ? kweli mnatumia ************* kufikiri Wewe ndie usiyefikiri kwa kudandia lori kwa nyuma. Walipe kodi wakati serikali kuu imefuta ushuru wa bajaji?
usitumie lugha ya matusi kwenye hoja ya msingi, serikali za mitaa ndizo hufanya ama kutekelza shughuli za maendeleo katika miji kwa kutumia vyanzo vyake yenyewe, mojawapo ni parking fees, lipen ushuru ili mpate maendeleo acheki kutumia jazba.
Mungu yupi?wananchi wenzetu wa arusha, tuanaomba mfahamu kuwa serikali kuu imeondoa kodi ya mapato, kupisha serikali za mitaa kupata vyanzo vya mapato. Ushuru unao tozwa na serikali za mitaa (manispaa, miji na wilaya) ni ushuru halali na wa kisheria. Tunawaombeni mtii sheria bila shuruti, kwani kila muwaonapo polisi wamebeba bunduki, hawalengi kupiga ndege, bali wale wasio penda kutii sheria bila shuruti. Kule kituoni, kuna bunduki nyingi,ambazo nyingine hazijawahi hata kutema risasi hata moja. Na idadi ya risasi zilizopo kituoni ni zaidi ya chroloquine zilizopo mount meru. Tunawapenda, tunawahitaji, na hivyo, tunawaomba mtii sheria bila shuruti. Hatutawaunga mkono kwa kutotii sheria. "serikali iliyoko madarakani, imewekwa na mungu
Ana mapepo, aende kuombewa